Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Ulokole una uraibu wa ajabu sana
Nina ishi huko
Mojawapo ya vitu ambavyo walokole wanatakiwa wasaidiwe waachane navyo ni ujinga
Etii tusifuge mbwa wala paka mwishoni utatuambia tusifuge pia ng'ombe na mbuzi
KKu
Uelewa wako mdogo.

Thread imejieleza, usikae ndani au kulala na wanyama kama paka, mbwa,pia vinyago na midoli.

Wewe unapindisha makusudi.
 
Hizi dini zinawafanya kuwa vichaa sisi tulio nje ya box tunawazoom tu na kucheka kimyakimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli, hata kichaa anayeokota makopo barabarani huwaona wasiookota makopo ndo vichaa wasojali usafi.

So uko sawa kunizoom ktk angle Yako wakati nami nikikuzoom ktk angle yangu.

Ubarikiwe.
 
Jikite kwenye mada.

Halafu kama kitu hukielewi au kukiamini, usitake Kila mtu afikiri na kuamini sawasawa na unavyoamini.

Hujalazimishwa kusoma thread, wapo watakaosaidika wasomapo ujumbe huu ambao umenyooka.

Ubarikiwe.
Nijikite kwenye mada kwani sasa hivi siko kwenye mada?
Tabia ya kuwaza kurogwa kila saa ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa akili alafu ni tabia za kimasikini.

Ww hutaki kila mtu afikiri kama mm ila unataka kila mtu ahamini na kufikiri kama unavyo fikiri ww kuwa paka ni wachawi.

Nikiwa rais wa nchi hii nitahakikisha nafuta urokole ndani ya nchi hii maana umewafanya watz kuwa wapumbavu.
 
Imani za kishirikina zimetamalaki! Kama usipokuwa makini kila kitu utaona kina uchawi! Hebu Kwanza kabla ya kuendelea kujadili hili swala,unaweza kudhibitisha uchawi upo bila ya Shaka yeyote?
UFUNUO 21:8

Imethibitisha juu ya uwepo wa wachawi.

Ikiwa huamini kuwa wachawi wapo, Muulize shangazi Yako Kwa HEKIMA na upole, atakuthibitishia.

Uliza vizuri uambiwe kitovu chako kilipokatwa kilipelekwa wapi.
 
Kulipa FUNGU la kumi ni Amri.

FUNGU la kumi ni sadaka Kwa ajili ya ulinzi wa AFYA, Mali, mifuko kutoboka, chumaulete, na kulinda KAZI ya mikono Yako.

Usiache kulipa ZAKA, utakuwa Mwizi.
 
Mbwa hapana. Mbwa kapewa binadamu kama mlinz wa fiscally things na spiritual thing's hasa usiku. Mbwa ana uwezo wa kuona jini na kubweka
Weka ulinzi wa Mungu kupitia Malaika wake.

Mbwa hupigwa tu Kofi na wachawi akawa habweki tena, na akiyaona mapepo Yale yenye misuli hufichama!!

Ubarikiwe.
 
Ili uwe mlokole yakupasa uwe kama lokole (Juma).

Wewe ni mpumbavu. Vinginevyo kaite walokole wengine waje kutushawishi.
 
Ili uwe mlokole yakupasa uwe kama lokole (Juma).

Wewe ni mpumbavu. Vinginevyo kaite walokole wengine waje kutushawishi.
Avater uliyoweka hapo pichani inajieleza u mtu wa aina Gani.

Mimi nakubariki, nakuombea ubarikiwe.

Amen
 
Wewe jamaa kwenye paka unanikosea tena sana embu tulia kwanza ule ushibe alafu hariri ulichoandika rafiki yangu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…