- Thread starter
- #81
Uelewa wako mdogo.Ulokole una uraibu wa ajabu sana
Nina ishi huko
Mojawapo ya vitu ambavyo walokole wanatakiwa wasaidiwe waachane navyo ni ujinga
Etii tusifuge mbwa wala paka mwishoni utatuambia tusifuge pia ng'ombe na mbuzi
KKu
Thread imejieleza, usikae ndani au kulala na wanyama kama paka, mbwa,pia vinyago na midoli.
Wewe unapindisha makusudi.