Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kuweka tu rekodi sawaHata kama mama ameruhusu sioni tatizo liko wapi?
Tatizo lipo Mkuu... watu walipaswa kuishi kama mashetani sasa mnawaachaje wapate pesa?Hata kama mama ameruhusu sioni tatizo liko wapi?
Unadhani kufikia kuwaita "wanaume...!!" Ilikuwa kazi ndogo!?Kitambo sana Pombe alishalegezwa na mabeberu kupitia makubaliano waliofanya kwenye kile kikao kilichoongozwa na Palamagamba Kabudi hapo Magogoni.
... mbona tukio la kubadili msimamo halikuwekwa hadharani MUBASHARA kama yale ya mwanzo? Mnafiki ni zaidi ya mchawi!Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini.
Sikiliza video hii ya 2020 mtaalamu WA masuala ya Madini walisha note Magufuli kubadili msimamo
PIA, SOMA=> Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali