Makinikia ya Bar yatatushinda sasa

Makinikia ya Bar yatatushinda sasa

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,221
Reaction score
22,496
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki [emoji38][emoji38]
 
umetisha mkuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Kali ya mwaka endelea kuchimba dhahabu achana na makinikia utakamatwa kwenye geti.
 
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki [emoji38][emoji38]
daa hatari sana
 
Duh! Naona wengi wanasoma kimyakimya tu, siju kama wameelewa...
 
Back
Top Bottom