Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki [emoji38][emoji38]