Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Bila Maximo hii list ni takataka kabisa. Wachezaji 70% Wanaocheza kwa kiwango kikubwa hapa Tanzania kwa sasa kwa namna moja au ingine wamepita mikononi mwake.Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu.
1. James Siang'a
2. Abdallah Kibaden....
Hans Wala Nabi,,,,tupa kuleHili list haina Ernest Brandt's?
Nabi huyu wa tigopesa!!!!!????aaaaah weeeehHans Wala Nabi,,,,tupa kule
Hizi ni porojo za vijiweni. Maximo ana mafanikio gani hapa Tanzania? Taja vikombe alivyobeba uache blah blah.Bila Maximo hii list ni takataka kabisa. Wachezaji 70% Wanaocheza kwa kiwango kikubwa hapa Tanzania kwa sasa kwa namna moja au ingine wamepita mikononi mwake.
Mkuu hapa nimeweka kuanzia 1990 hivyo hao wa huko miaka ya nyuma sikuwataja...kocha bora ni Slowmir Work toka Poland aliyeipeleka Taifa Stars kombe la Afrika mwaka 1981.
..kipindi hicho mashindano yalikuwa yanashirikisha timu 8 tu toka bara zima la Afrika.
..Msaidizi wa Slowmir Work alikuwa ni Mtanzania Joel Bendera.
Ubatilishwe kwasababu zipi? Vijana walioanza kufuatilia soka miaka ya 2010s mnataka makocha wa timu zenu ambao wana kikombe kimoja au viwili nao waingie kitu ambacho hakiwezekani.Basi tufanye uzi ubatilishwe tuuu
Mimi nimesummarize tuu huo mtiririko mkuu wala sina baya. Kwanza zaidi ya mgunda mm simjui kocha mwingine yoyote.Ubatilishwe kwasababu zipi? Vijana walioanza kufuatilia soka miaka ya 2010s mnataka makocha wa timu zenu ambao wana kikombe kimoja au viwili nao waingie kitu ambacho hakiwezekani.
Sasa Unalazimisha!! si ungepost kweny group la ukoo wenu..hapa watu lazima wotoe maoni yaoUbatilishwe kwasababu zipi? Vijana walioanza kufuatilia soka miaka ya 2010s mnataka makocha wa timu zenu ambao wana kikombe kimoja au viwili nao waingie kitu ambacho hakiwezekani.
Aisee wewe jamaa kumbe ni mweupe kiasi hicho Maximo kaikuta Taifa stars no 137 FIFA rank mpka 97 na tangu aondoke hatuja wahi ingia hata 100 unasema hana kitu?Hizi ni porojo za vijiweni. Maximo ana mafanikio gani hapa Tanzania? Taja vikombe alivyobeba uache blah blah.
Au taja mchezaji yeyote aliyeibuliwa na kufanywa bora na maximo.
Mpaka mwaka 2006, ni vigumu kujua ni Watanzania wangapi walikuwa wamewahi walau kusikia jina la Marcio Maximo - kocha wa soka aliyekuja kuipeleka Tanzania katika fainali za CHAN mwaka 2009. Wachezaji kama Jerry Tegete, Erasto Nyoni, Shaban Nditi ni mkono wake.Hizi ni porojo za vijiweni. Maximo ana mafanikio gani hapa Tanzania? Taja vikombe alivyobeba uache blah blah.
Au taja mchezaji yeyote aliyeibuliwa na kufanywa bora na maximo.
Sioni ni kwa namna gani kocha wa timu ya taifa atamuibua mchezaji ambaye hafanyi vizuri kwenye klabu yake.Mpaka mwaka 2006, ni vigumu kujua ni Watanzania wangapi walikuwa wamewahi walau kusikia jina la Marcio Maximo - kocha wa soka aliyekuja kuipeleka Tanzania katika fainali za CHAN mwaka 2009. Wachezaji kama Jerry Tegete, Erasto Nyoni, Shaban Nditi ni mkono wake.
Kwahiyo mnaposema kuwa simba ni kubwa afrika kumbe mnajitoa akili huku munajua wazi ukubwa wa timu ni kuchukua vikombe na sio kushirikiHizi ni porojo za vijiweni. Maximo ana mafanikio gani hapa Tanzania? Taja vikombe alivyobeba uache blah blah.
Au taja mchezaji yeyote aliyeibuliwa na kufanywa bora na maximo.