Makocha tunaajili wazungu,kwanini shule pia isiwe hivyo?

Makocha tunaajili wazungu,kwanini shule pia isiwe hivyo?

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
720
Reaction score
1,410
Tanzania bado tuna amini makocha wa kizungu ndo wenye material kichwani ya kuwafundisha watu wetu katika michezo mbali mbali hasa mpira wa miguu.Mpaka Leo wazawa hawaaminiki kwenye ufundishaji wao wa mpira hapa nchini iwe ni vilabu hadi timu ya taifa.

Je kwanini tusiajili pia wazungu wakaja kufundisha watu wetu hasa upande wa masomo ya sayansi,ufundi,uzalishaji mali,uchumi,kilimo,ufugaji,uvuvi n.k kwenye mashule yetu ili kuleta tija na utofauti kama ilivyo kwenye mpira?
 
Hata ukileta wazungu, je wachezaji wazawa unao? Ni Mbwana Samatta tu ndiye mpaka sasa alicheza Ulaya.
Linganisha na wachezaji wazawa wa Cote D'Ivoire, Senegal, Egypt na Nigeria.

Kwa hiyo hoja siyo makocha tu Bali pia wachezaji hawapo.
 
Kama walimu wa kibongo wanalipwa 500k mtaweza kuwalipa wazungu wanaolipwa kwa session..?
 
Utaishia kumlipa mwalimu mzungu mmoja kwa mshahara wa shule nzima.
 
Hata ukileta wazungu, je wachezaji wazawa unao? Ni Mbwana Samatta tu ndiye mpaka sasa alicheza Ulaya.
Linganisha na wachezaji wazawa wa Cote D'Ivoire, Senegal, Egypt na Nigeria.

Kwa hiyo hoja siyo makocha tu Bali pia wachezaji hawapo.
Wachezaji wetu hawana football intelligence. Miguu na akili zao havina synchronisation.
 
Kwa sababu mpira ni brainwashing tool shitholeni lazima masisiemu yawekeze ili kuwasahaulisha vijana Kwamba value ya maisha ya fisi kule Serengeti ni kubwa kuliko mtanzania! Wasijekukaa wakashtuka na kuitafuta haki yao ya uzawa wabaki kuwa mazwazwa tu
 
Back
Top Bottom