Umekurupuka.Hata ukileta wazungu, je wachezaji wazawa unao? Ni Mbwana Samatta tu ndiye mpaka sasa alicheza Ulaya.
Linganisha na wachezaji wazawa wa Cote D'Ivoire, Senegal, Egypt na Nigeria.
Kwa hiyo hoja siyo makocha tu Bali pia wachezaji hawapo.
Wachezaji wetu hawana football intelligence. Miguu na akili zao havina synchronisation.Hata ukileta wazungu, je wachezaji wazawa unao? Ni Mbwana Samatta tu ndiye mpaka sasa alicheza Ulaya.
Linganisha na wachezaji wazawa wa Cote D'Ivoire, Senegal, Egypt na Nigeria.
Kwa hiyo hoja siyo makocha tu Bali pia wachezaji hawapo.