Hao wote ni wahamasishaji tu wa mpira wa miguu. Hakuna kocha hapo.
NB: Mimi siyo muumini wa kushabikia udini.
Zaidi ya yote; mimi kama mimi, naishabikia nchi yangu yaTanganyika! Naamini ipo siku tu, tutamuondoa yule kupe aliyejificha kwenye koti chakavu linaloitwa muungano.
Hao ni waajiriwa wa Wallace Karia,Wilifred kidau ,Oscar Milambo na Clifford Mario Ndimbo usiwe na hofu lakini pia wanaangaliwa kwa Umakini na Leodigar Tenga na Neema Mhita kutoka BMT huku Kabudi akihakikisha utulivu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.