Hao wote ni wahamasishaji tu wa mpira wa miguu. Hakuna kocha hapo.
NB: Mimi siyo muumini wa kushabikia udini.
Zaidi ya yote; mimi kama mimi, naishabikia nchi yangu yaTanganyika! Naamini ipo siku tu, tutamuondoa yule kupe aliyejificha kwenye koti chakavu linaloitwa muungano.