Makolo mnalia nini kutoa sare na wakati nyie wenyewe mlisema mnajenga timu

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
14,938
Reaction score
25,405
Maendeleo yoyote yana gharama zake na kilichotokea leo ndio matokeo ya maendeleo hayo. Sasa nawasihi muendelee kushikamana swala la ubingwa muliweke pembeni nyie endeleeni na project yenu.

NAtabiri maneno yatakayoanza sasa

-GSM ana dhamini timu nyingi
-Bahasha zinatembea (zitatembea mpaka tar 8 March)
-Penalty za mchongo zimekauka
-Chasambi ni wakala wa GSM
-Mzize auzwe hastahili kuwepo Yanga
-Clean Sheet ni bora kuliko ubingwa (hasa ukiwa unajenga timu)

Sasa tunaomba utulivu wakati huu sindano inazidi kuingia, ukitingisha tako inaenda kugonga mfupa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…