Makolo wataka Mo anyang'anywe timu apewe Bakhresa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Apewe Baharesa!🀣🀣🀣🀣

Your browser is not able to display this video.

"Timu ya Simba kama Mo Dewji ameshindwa ampe Bakhresa, Simba ni kubwa kuliko Barbara, kama wameshindwa wampe timu Bakhresa.
 
Anyang'anywe kivipi tena, na wakati wanachama waliridhia wenyewe huyo Mo kuwa mwekezaji wao!! Tena ni baada ya kuweka mzigo wa bilioni 20! Na ambazo ni sawa na 49% ya hisa zote za klabu yao!!

Mimi nadhani waendelee tu kusikilizia maumivu, maana huyo jamaa bado yupo yupo sana hapo msimbazi kwao. Waoende, wasipende!
 
Waunde timu yao
 
Ni uhuru mzuri kwa kila mtu kutoa maoni yake ILA why azungumzie masuala ya Gender bases?yes CEO ni ke ila are judged na uongozi wake sio uanamke wake
 
Sisi walalamikaji hatuna msaada wowote zaidi ya maneno
 
Amewahi kucheza mpira wapi? Hilo ndio swali nmeona ameuliza,
Pia ameuliza wapi mwanamke awe kiongozi?,President wa CAF amewahi kucheza mpira wapi?,President wa yanga amecheza mpira wapi?,na soma hii President Magufuli hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi!!!,judge kwa performance not Gender pls
 
Kwa hio nani ambae amewahi kua balozi nyumba 10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…