Waambie waichukue waoApewe Baharesa!🤣🤣🤣🤣
View attachment 2426225
"Timu ya Simba kama Mo Dewji ameshindwa ampe Bakhresa, Simba ni kubwa kuliko Barbara, kama wameshindwa wampe timu Bakhresa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie waichukue waoApewe Baharesa!🤣🤣🤣🤣
View attachment 2426225
"Timu ya Simba kama Mo Dewji ameshindwa ampe Bakhresa, Simba ni kubwa kuliko Barbara, kama wameshindwa wampe timu Bakhresa.
Bahati nzuri viongozi wao wapo smart ingekuwa uto ungeskia "wala mihogo nyie"Makolo wanaongea sana, wanafaa kuwa waimba taarabu.. 😅😅😅
'Babara' na MO wapo sana Simba..Makiwendo
Shunie
Cillah wapo pole maboss hao.. Hawamtaki babara wala Mo.. Wameanza shikani uchawi
View attachment 2426569
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watani hawana uvumilivu kabisa.
Nguvu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeye mwenyewe anagugumia huko.
Ukizingatia kuwa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja huku ikiwa na viongozi wote wanaumeNi uhuru mzuri kwa kila mtu kutoa maoni yake ILA why azungumzie masuala ya Gender bases?yes CEO ni ke ila are judged na uongozi wake sio uanamke wake
Kwani Barabara anafanyaje 😊😊Wampe kuifanyaje?
Nguvu zishakuwa nyingi..!!Nguvu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anachoifanya Babra..!! 😅 😅 😅Wampe kuifanyaje?
Pia ameuliza wapi mwanamke awe kiongozi?,President wa CAF amewahi kucheza mpira wapi?,President wa yanga amecheza mpira wapi?,na soma hii President Magufuli hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi!!!,judge kwa performance not Gender pls
Hii ni debate na ndio maana ya mada, lazima tuwe na mawazo tofauti and end of the day we have right to disagree, na undelete vema mimi sihoji utendaji wake ,tatizo why uingize Gender issue kwenye utendaji wake?,ukiweza kunijibu it's ok na uku ignore ni vema piaWewe usiandike kitu kama haujui, Rais wa Caf amekuwa kiongozi wa mpira kwa muda mrefu na kuondoza Mamelodi, Rais wa Yanga amecheza mpira akiwa Dodoma katika Kazi ya Wilaya na alikuwa mchezaji bora sema alipata shida ya goti ikabidi aache kucheza kabisa… Huyo Rais Magufuli amekuwa Mbunge miaka zaidi ya 15, Waziri zaidi ya miaka 15 tena wizara Kubwa kubwa. Barbara amekuwa personal Secretary wa Mo, alafu unampa cheo kikubwa cha CEO tena kwenye Club ya mpira ambayo hajui hata sheria za fifa alafu anauzoefu kweli Mo alitutukana hapa…..
Na muhimu why Gender inakua issue?Ukizingatia kuwa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja huku ikiwa na viongozi wote wanaume
Nguvu moyaa🤣🤣🤣Nguvu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdau haujui Engineer Hersi Said amechezea timu za shuleni na chuoni akiwa DIT, kaupiga sana mpira na akina Shaffih Dauda. Hersi amefanya kazi na watu wanaolijua soka kwa muda mrefu kama Senzo na akina Dr.Mshindo tofauti Barbra juu yake kulikuwa na Mo na sasa Try Again wote hawana uzoefu mkubwa kwenye soka kama akina Senzo na Msola.President wa yanga amecheza mpira wapi?,na soma hii President Magufuli hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumi!!!,judge kwa performance not Gender pls