ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wewe mbumbumbu kijana kuna timu yenye level ya kufungwa tano na isiyo level hio? ndio maana mna ambiwa acheni kwenda na matokeo mfukoni, timu giant nyingi tu zisha pigwa gwara+ Liverpool alipigwa na Aston villa Real Madrid kasha chezea 5 ikiwa na Ronaldo, Beckham, Zidane, Figo nyie mpo level gani?Simba kwa saizi ishavuka stage ya kufungwa bao 5
Simba wakati inatengeneza njia ili ije ifike hapa ilipo ndio ilikutana na zahma kama hizo
But this time around timu zote kubwa zikipangiwa na Simba lazima zikune kichwa
Nyie endeleeni kuruka ruka na makoti ya oversize huko Tunisia, hizo ndio level zenu nyinyi failures
Hata Vipers afungwe 10 bado hamuwezi kujifananisha nao, wao ni bora kuliko nyinyi na ndio maana wanashiriki mashindano ya timu bora.