Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Wakristo rejea ni biblia tu , wakristo hatuna Hadith kama nyie
wacha kudanganya , kama rejea yenu ni biblia wapi kwenye Biblia Yesu alisema mimi ni mungu au alisema mniabudu mimi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakristo rejea ni biblia tu , wakristo hatuna Hadith kama nyie
KDF WANAFANYA NN
Weka jibu
Nani kakwambia Mungu wa wakristo ni kiumbe?
Acha kurukaruka , tupo na umri wa Mary weka andiko la bibliawacha kudanganya , kama rejea yenu ni biblia wapi kwenye Biblia Yesu alisema mimi ni mungu au alisema mniabudu mimi ??
Acha kurukaruka , tupo na umri wa Mary weka andiko la biblia
Nani kakwambia Mungu wa wakristo ni kiumbe? Au ni wewe mwenyewe umejiambiakwani yesu si kiumbe ??
Nani kakwambia Mungu wa wakristo ni kiumbe? Au ni wewe mwenyewe umejiambia
Umeshindwa la Mary unaamisha madaAnayeruka ruka ni wewe uliyesema rejea yenu ni Biblia , sasa toa jibu
wacha kudanganya , kama rejea yenu ni biblia wapi kwenye Biblia Yesu alisema mimi ni mungu au alisema mniabudu mimi ??
Umeshindwa la Mary unaamisha mada
Magharibi pamoja na Israel huwa wana share intelligence baina yao. Kwa nini Ubalozi hapa wasinge share intelligence na security agencies za Tanzania ???Wanaweza kushambulia balozi popote jirani kulipa kisasi.
Ishawai kutokea so kutoa alert muhimu.
Unaulizaje swali na hujajibu la Maryla mary umeshindwa wewe uliyedai rejea yenu ni biblia , nikakuuliza kama rejea yenu ni biblia , ni wapi Yesu alisema Mimi yesu ni mungu wenu na mniabudu mimi ??
unazunguka tu
Unaulizaje swali na hujajibu la Mary
Kiri kwanza la Mary alafu tuje la Yesu
Katika ukristo mungu ni tofauti na Mungu , rekebisha swali nikujibu, nikakuuliza kama rejea yenu ni biblia nitajie niwapi kwenye biblia Yesu amesema mimi ni mungu na mniabudu mimi ?? unakimbia
KDF wao wapo bize kuiba MkaaMkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi....
Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini.............
US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani, and 10 of his operatives in northern Somalia, American officials say.
He was killed after US special forces raided a remote mountainous cave complex hoping to capture him.
"Al-Sudani was responsible for fostering the growing presence of ISIS in Africa," Defence Secretary Lloyd Austin said.
He also allegedly funded the group's activities globally, Mr Austin added.
Analysts say the fact that US troops were sent to kill or capture Sudani, rather than using a less risky drone strike, indicates his significance.
In recent years, the Islamic State group has reportedly expanded its activities into several African countries, including Mozambique and the Democratic Republic of Congo.
Katika ukristo mungu ni tofauti na Mungu , rekebisha swali nikujibu
Jibu kwanza hapo , Kwani Yesu si kiumbe ??Umeshindwa la Mary unaamisha mada
Apo sawa kwa hiyo unataka maneno exactly kama ulivyo weka wewe Yesu awe ameyasemaWapi kwenye biblia yesu alisema mimi ni Mungu na mniabudu mimi ??
Nataka nijue mpumbavu gani alikwambia Mungu wa wakristo ni kiumbe , au uliambiwa msikitiniJibu kwanza hapo , Kwani Yesu si kiumbe ??