Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

aila naona battle zake mmarekani huwaga ana struggle sana hazijanyooka kama myahudi mpaka sometimes namuonaga na yeye kama yuko overrated sana
Marekani haipo overrated aisee.

Ikija kwenye conventional warfare, Marekani hana mpinzani.

Hakuna nchi ingine hapa duniani inayoifikia Marekani kwenye military hardware na experience ya kupigana vita.

Hivi China mara ya mwisho wamepigana lini kwenye vita?
 
Waafrika ni cheap labour hizo kazi wazungu wengi hawataki wa America hawazitaki hizo kazi umetaja naongelea mchango wa Israel kwenye teknolojia za vita marrkani sio hizo kazi za vibarua za Watu weusi wnaofanya sana kazi mashamba ya pamba, viwanda, ujenzi wa njia za uchukuzi n.k na kupanga mabox na bidhaa supermarket

Hizo wazungu wengi na wayahudi huwezi kuwaona huko na hawana mpango wameachia watu kama nyie
 
Mchango wa watu weusi Marekani ni mkubwa.

Hata White House watumwa wenye asili ya Kiafrika walihusika kwenye ujenzi wake.
 
Mchango wa watu weusi Marekani ni mkubwa.

Hata White House watumwa wenye asili ya Kiafrika walihusika kwenye ujenzi wake.
Vibarua hivyo vya ujenzi wazungu na wayahudi hawataki ni kazi za chini sana ndio maana wanaachia watu weusi
 
Vibarua hivyo vya ujenzi wazungu na wayahudi hawataki ni kazi za chini sana ndio maana wanaachia watu weusi
Kwani vibarua siyo binadamu? Huko Israel hakuna vibarua wa Kiyahudi?

Ukweli ni kwamba White House ilijengwa na slave labor, free black laborers, na white laborers.
 
Umechemka vibaya sana.
Kuna jumuiya ya waisrael nchini Marekani na ni watu wenye nguvu kubwa sana za kiuchumi na wana ushawishi mkubwa mno kwa siasa za Marekani na wanategemewa sana na vyama vikuu vya kisiasa ktk nchi hiyo hivyo chama chochote kinapoingia madarakani kuiunga mkono Israel lazima iwe ajenda yake kuu.

Katika matajiri 100 wakubwa wa nchini Marekani unakuta 70 wana vinasaba vya Israel sasa hapo unategemea nini.
 
Hilo ni suala mojawapo ....
Yapo mengi ya kujadiliwa kuhusu China.
 
Hata Chinese ni cheap labor ndio hao wanaikimbiza USA...

Kingine tambua hoja inayojengwa hapa, kabla ya hizo gunduzi za kIsayansi zikitegemea mabilioni ya dollar kutoka serikalini, vumbuzi za kisayansi n.k waliwekeza kwanza katika shughuli za kukuza uchumi kama kulima mazao ya biashara na chakula, kutengeneza njia za uchukuzi na miundombinu mbali mbali ili kukuza uchumi...

Huwezi fund scientific projects huna chakula, huna pesa... Ndio maana Soviet wamerusha satellite 1958 lakini Tanzania hadi leo miaka zaidi ya 60 hamna uwezo wa kurusha hata jiwe anga za mbali...


Hamna resources, hamna maabara za majaribio, hamna wataalamu wenye elimu za anga za mbali...hamna kila kitu...

Kwa sababu ya umasikini...

Hivyo hao cheap labor tambua mchango wao katika kukuza uchumi wa US..


Hata hizo atomic bombs US iliweza kuwezesha majaribio na costs za utengenezaji kwa sababu walikua na pesa... Walikuwa na uchumi...

Huyo mtengenezaji wa atom pasipo pesa, maabara bora hilo bomb wangetengeneza na nini? Kutumia udongo?
 
Obama baba yake mKenya, kaingia madarakani umeona Kenya imepata misaada ya mabilioni kutoka US, F35 na Air defenses?

What's so special about jews?

Wenzetu hawaendeshi nchi kwa mihemko ya kikabila, udini na kujuana kama nyie, mambo ya uzanzibari na uTanganyika...

Mapendekezo na mawazo masuala ya kijeshi, uchumi, vita n.k lazima bunge linakaa kura zinapigwa, hata pesa kuisaida Ukraine bunge US walikaa kupiga kura juzi hapa....

Hawakai wayahudi kupanga wanalotaka .... bungeni huko hadi wenye vinasaba vya ujaluo wapo...

Hizi story mnatoa wapi?
 
Yamewashinda mahandakiya Hamas Ghaza, mpaka leo Hamas wanaibuka na kuwatembezea kichapo. Mazayuni uni mpaka leo hawajuwi nateka wao wako wapi. Wataweza ya Hezbollah?
. Ni propaganda kwa wajinga ndiyo waliwao tu.
 
Trump anataka kupigana na Mchina,
USA haitaweza kupigana Vita ya Middle East na Israel, RUssia na China kwa mpigo.
Trump anataka vita mbili ziishe na abaki na Mchina peke yake.

USA asipofilisika, Wachina na Waarabu watakiona cha Mtema Kuni.
Yaani unasema US hawezi kupigana hizo nchi kwa mpigo? Mzee hawa jamaa achana nao linapokuja suala la kupambana na adui zao, wana pesa za kutosha kwa ajili ya umafia.
 
Yameqashinda ya Hamad Ghaza, mpakqnleo qanibuka na kuatembezea kichapo, na hawajuwi nateka wao wako wapi. Wataweza ya Hezbollah.
. Ni propaganda kwa wajinga ndiyo waliwao tu.
Ustaadhat umepata dodoma wine nini au Netanyahu nae amehack vijini vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…