Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Yamekuwa hayo tena ya UJUHA???
Marekani ina watu zaidi ya milioni 330. George Soros ni mtu mmoja.
Huyo Soros ana control kitu gani Marekani?
Ni ujuha kuamini katika conspiracy theories.
Hao Blackrock na Vanguard ndo nini? Ndo wanaidhibiti Marekani nzima?
Kama wanaidhibiti Marekani nzima mbona hawajawahi kuwa na Rais Myahudi?
Stori za vijiweni tu kuwapa kila sifa na kila lawama hao Wayahudi.
