Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Yamekuwa hayo tena ya UJUHA???

Marekani ina watu zaidi ya milioni 330. George Soros ni mtu mmoja.

Huyo Soros ana control kitu gani Marekani?

Ni ujuha kuamini katika conspiracy theories.

Hao Blackrock na Vanguard ndo nini? Ndo wanaidhibiti Marekani nzima?

Kama wanaidhibiti Marekani nzima mbona hawajawahi kuwa na Rais Myahudi?

Stori za vijiweni tu kuwapa kila sifa na kila lawama hao Wayahudi.
 
Kwa hiyo Israel na intelijensia yote hiyo ya kuweza kumuua gaidi Nasrallah shimoni asijue eti wewe unayechoma mahindi hapo Tabata Relini ndio ujue..🤣🤣🤣
Kuna kupigana vita kwa ajili ya kulinda usalama wako....

PM Churchill, 2nd WW ilitokea mvutano mkubwa kati ya viongozi wa serikali kuhusu kukubali masharti ya Hitler ama kupambana nae...

Churchill aliuliza hadi wananchi mtaani kupata maoni, baada ya msuguano wa mawazo wakapata conclusion waingie vitani...

Kuna mawaziri walipinga, kuna waliunga mkono, kuna wabunge walipinga kuna ambao waliunga mkono....

UK ilishajua haina uwezo kukabiliana na Germans lakini walipigana kiume wakisadiwa na US..

Unajua kwanini Churchill alipita kwa wananchi kuwauliza?

Wananchi wanafahamu nini kuhusu intel za kijeshi?

Mimi kuwa mchoma mahindi hapa Kibondo ama Tandahimba haimaanishi siwezi kutoa maoni yangu...

Vita ya kupigana ku survive unaweza fahamu unashindwa ama hutofanikisha ushindi lakini ikakulazimu upambane...
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Hezbollah imedhoofika mno, hawana uwezo huo
Hapana si hatua ya kufikia kushindwa ku resist mashambulizi ya Israel...

Bro tupo hapa.. tutashuhudia kama Israel itawatoa Hezbollah hapo mpakani...
 
World War 2 1945 ,USA inashinda WW2 Israel ilikuwa wapi?

Umeshachunguza akili zako?
Rudia tena kusoma historia Bomu la atomic bomb liligunduliwa na myahudi mmarekani Robert Oppenheimer (1904-1967) . He is often known as the “father of the atomic bomb.” likatumika vita kuu ya pili ya dunia 1945 kumaliza vita mjapani hadi kesho hamsahau huyo mu Israel bomu ka atomic kikichofanya Japan vita kuu ya pili ya dunia hakuna mjapani atqkuja kusahau milele
 
Wapinga zionism ni wayahudi ambao mama zao sio wayahudi ila baba zao wayahudi

Wayahudi kuwa myahudi original lazima mama awe myahudi asilimia 100

Sasa kuna hiyo midume ya kiyahudi ambayo ni miyahudi mia kwa mia kwa Mama zao ikazaa na akina mama wazaramo na wandengereko nk hiyo mitoto waliyozaa huko nje ndio hupinga zionism
We jamaa nipumzishe...
Hizi story mnazitoa wapi?
 
Leo nimekumbushia miaka hiyoo ya Mijadala mizito ya JF.

Haya Bandugu, nawakimbeini, Ntarudi tu KUSOMA Nondo zenu.....:CarltonPls:
 
We jamaa nipumzishe...
Hizi story mnazitoa wapi?
Nenda history kasome hao anti zionism na dini yao ni akina nani hasa

Sababu wana hadi dini yao ambayo sio ike ya conservative judaism wana na dini yao kabisa Sababu conservative judaism huwa hawawatambui kama wa dini ya kiyahudi sababu ni kama wana haramu kwenye dini ya kiyahudi original
 
Wataje sasa hao wanasayansi wa kiyahudi wanao tegemewa na Marekani tuwaone.
Mpaka vita ya pili ya dunia wayahudi walikuwa waishi kama vibaka wanakimbizwa na kuuawa wakati huo Marekani ndo alikuwa masambazaji mkuu wa silaha zilizo saidia kuishinda Ujerumani na kuwakomboa hao wayahudi yalio kuwa wamerundikwa kwenye makambi ya mateso wakisibili kuawa na Hitra.

Huna akili Israel imeundwa na mwaka 1947 wakati Marekani imekuwa taifa kubwa kiteknolojia tangu miaka ya 1880.
Hata hako kataifa kao si kameanzishwa kwa hisani ya Marekani na Uingereza?
Hivi, kama kweli hao Wayahudi ni vipanga, yaani wana akili sana….iliwezekana vipi Hitler akawaua kama sisimizi?

Hitler aliwazidi akili hao Wayahudi vipanga?

Walishindwa kutumia akili kumgeuzia kibao Hitler na kumbanika yeye na wenzake kwenye oven?
 
USA hawezi mpiga china, ndiyo itakuwa mwisho wa U-superPower wake.
Hawawezi pigana China na marekani hata siku moja

Ajira nyingi China zinazolipa vizuri wafanyakazi China ni za viwanda vya wamarekani waliowekeza china

Na soko kubwa la nje la fedha za kigeni za China soko lao liko marekani ndio wanunuzi wakubwa wa bidhaa za viwango vya juu za china
 
Rudia tena kusoma historia Bomu la atomic bomb liligunduliwa na myahudi mmarekani Robert Oppenheimer (1904-1967) . He is often known as the “father of the atomic bomb.” likatumika vita kuu ya pili ya dunia 1945 kumaliza vita mjapani hadi kesho hamsahau huyo mu Israel bomu ka atomic kikichofanya Japan vita kuu ya pili ya dunia hakuna mjapani atqkuja kusahau milele
Oppenheimer alikuwa ni mkurugenzi wa Los Alamos Laboratory.

Hapo ndo research na development ya atomic bomb ilipofanyika.

Walikuwepo akina Enrico Fermi, Percival Keith, Ernest Lawrence, na wengineo.

Oppenheimer hakuliunda hilo bomu yeye peke yake mwanzo mwisho.

Ila kwa vile ndo alikuwa mkurugenzi wa maabara ya lilipotengenezwa, ndo maana anapewa pewa yeye sifa.

Ukweli ni kwamba walikuwepo wahandisi na wanasayansi wengine ambao hawakuwa Wayahudi.
 
Nani anawaamini hao watu siku hizi? Pia mambo ya Historia achana nayo.
Mchina wa mwaka 1970 na leo ni vitu viwili tofauti.

Yaweza kweli kuwa Mwanzo Israel alikuwa MLINZI wa USA miaka hiyo ila Wayahudi wamepiga kazi na kufanya Biashara sana na hadi wamekuwa Matajiri wakubwa na KUZINUNUA Nchi za WEST.
Walizinunua kwa Sh ngapi?
Hivi what's so special about jews na hao Israeli?
Akitokea kiongozi myahudi UK mtapaza sauti UK inaongozwa na wayahudi, na inaendeshwa na Israel..

Akitokea kiongozi muhindi mnakaa kimya hamsikiki kusema UK inaongozwa na kutawaliwa na India.

Obama mbona hamkusema US inatawaliwa na Kenya?

Hao jews wana agenda gani na u special upi kuliko race zingine? Kuna siri gani kuhusu wao?

Sitaki kuamini watu wana mawazo duni kiasi hiki..
 
Mimi nawaambis, kama Israili wsnajiamini wajaribu kumpiga risasi Hezbollah hsta mmoja tu, eatsuoma mziki wake
Uko ulimwengu gani wewe

Waneshaua kiongozi mkuu wa Hezbollah na makamu wake

Hezbollah wakachagua mwingine wakaua naye hufuatilii vyombo vya habari hata hunu jamii forums? Waue mara ngapi?
 
Walizinunua kwa Sh ngapi?
Hivi what's so special about jews na hao Israeli?
Akitokea kiongozi myahudi UK mtapaza sauti UK inaongozwa na wayahudi, na inaendeshwa na Israel..

Akitokea kiongozi muhindi mnakaa kimya hamsikiki kusema UK inaongozwa na kutawaliwa na India.

Obama mbona hamkusema US inatawaliwa na Kenya?

Hao jews wana agenda gani na u special upi kuliko race zingine? Kuna siri gani kuhusu wao?

Sitaki kuamini watu wana mawazo duni kiasi hiki..
Nimeuliza swali: Hitler aliwakaanga kama kumbikumbi hao Wayahudi. Kwa nini hawakutumia akili zao nyingi kumgeuzia kibao na kumkaanga yeye kabla ya yeye kuwakaanga wao?
 
Israel anachotaka hapo ni raia wake warudi kwenye makazi yao.
Kitu ambacho ni kigumu sana... Kwani Gaza walilipua tunnels ngapi na kuziba? Ni nyingi, je wamewamaliza Hamas?

Tunnels za Hamas kwa Hezbollah zinaingia mara 10, jamaa wana tunnels karibu Lebanon yote...
Zitapasuliwa tu.
 
Israel ni babu Yao,mainjia na wajasiriamali wakubwa wanavinasaba nao!
Israel inatumika na magharibi kuivuruga mashariki ya Kati, fikiria israel isingekuwepo mashariki ya Kati pangekuwaje?..tamaa ya magharibi ni kuhakikisha mashariki ya Kati hapatulii,wakiwa wamoja wale magharibi hawana chao, wakati wa isis lengo ilikua kuhakikisha mashariki ya Kati hapatulii kwa miaka 50
 
Oppenheimer alikuwa ni mkurugenzi wa Los Alamos Laboratory.

Hapo ndo research na development ya atomic bomb ilipofanyika.

Walikuwepo akina Enrico Fermi, Percival Keith, Ernest Lawrence, na wengineo.

Oppenheimer hakuliunda hilo bomu yeye peke yake mwanzo mwisho.

Ila kwa vile ndo alikuwa mkurugenzi wa maabara ya lilipotengenezwa, ndo maana anapewa pewa yeye sifa.

Ukweli ni kwamba walikuwepo wahandisi na wanasayansi wengine ambao hawakuwa Wayahudi.
Argument zako hazina mashiko mfano akiyegundua gari kwani yeye ndie akikuwa mtengeneza matairi,na Fundi welding kuchomekea chassis na Fundi wa kushona viti vya kukaa abiria? Issue ni main idea hao wengine wote ni supporting staff tu kichwa cha atomic bomb kilikuwa cha kiyahudi huyo mkurugenzi sio hao supporting staff wanaoelekekezwa nati funga pale nk
 
Back
Top Bottom