Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Israel ni babu Yao,mainjia na wajasiriamali wakubwa wanavinasaba nao!Hivi kwa nini USA anaiunga mkono zaidi Israel kuliko Mataifa mengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel ni babu Yao,mainjia na wajasiriamali wakubwa wanavinasaba nao!Hivi kwa nini USA anaiunga mkono zaidi Israel kuliko Mataifa mengine?
Bajeti Kubwa bila ya "art of war (strategies)" ni Kazi bure.Bila bajeti hakuna cha art wala science of war.
Bajeti ndo kila kitu.
Teknolojia za vita Marekani inategemea waisraelEbu tutajie wanasayansi 10 wa Israel wanao tegemewa na Marekani?
Maendeleo ya kiteknolojia ya Marekani yamechangiwa na jamii mbali mbali.
Alafu kingine jua kutofautisha Waisrael na wayahudi ni vitu viwili tofauti Israel ni taifa na uyahudi ni asili.
So kila myahudi ni raia wa Israel na si kila raia wa Israel ni myahudi.
Nikiongezea hapo afahamu pia na zionism ni kitu gani...Ebu tutajie wanasayansi 10 wa Israel wanao tegemewa na Marekani?
Maendeleo ya kiteknolojia ya Marekani yamechangiwa na jamii mbali mbali.
Alafu kingine jua kutofautisha Waisrael na wayahudi ni vitu viwili tofauti Israel ni taifa na uyahudi ni asili.
So kila myahudi ni raia wa Israel na si kila raia wa Israel ni myahudi.
Kwa hiyo Israel na intelijensia yote hiyo ya kuweza kumuua gaidi Nasrallah shimoni asijue eti wewe unayechoma mahindi hapo Tabata Relini ndio ujue..🤣🤣🤣Israel anachotaka hapo ni raia wake warudi kwenye makazi yao.
Kitu ambacho ni kigumu sana... Kwani Gaza walilipua tunnels ngapi na kuziba? Ni nyingi, je wamewamaliza Hamas?
Tunnels za Hamas kwa Hezbollah zinaingia mara 10, jamaa wana tunnels karibu Lebanon yote...
World War 2 1945 ,USA inashinda WW2 Israel ilikuwa wapi?Teknolojia za vita Marekani inategemea waisrael
Hizo zingine ni wengineo
Bila Israel Marekani kivita hamna kitu
Hezbollah imedhoofika mno, hawana uwezo huoIsrael waishie hapo imetosha... Wameonyesha ubora kwenye intel na airforce wakisaidiwa na US/CIA / US Airforce, wakaushe sasa, ground invasion watapigwa wachakae... Huo ndio ukweli....
Marekani wanajitayarisha kupeleka vikosi kwa kuhofia malipizo kutoka Iran.
Israel huwa anapewa ujiko asiostahili kabisa.
Ubabe wa Israel unatokana na Marekani. Period, end of sentence.
View: https://youtu.be/R6iIe6T_k20?si=FciUVz6Wko1FmUAF
Wapinga zionism ni wayahudi ambao mama zao sio wayahudi ila baba zao wayahudiNikiongezea hapo afahamu pia na zionism ni kitu gani...
Kuna jews wanapinga zionism...
Zionism ndio hizo movements za jews wakidai kurudi kwenye nchi yao ya ahadi zilizoanza karne ya 19...
Yeye anachojaribu kukifanya maraisi wenzake walio pita walisha jaribu na wakafeli vibaya sana.Mkuu kuna sehemu niliandika wazo sawa na wewe...
Nimeingia social medias za Iran huko naona wanamlaumu rais wao, wengine wakisema yeye ndiye chanzo cha Nasrallah kufariki.
Mimi nawaambia kama Israili wanajiamini wajaribu kumpiga risasi Hezbollah hsta mmoja tu, wataiona mziki wakeSema Makomandoo wa mabwana zao Amerika, Wale mashoga wanaweza kuwa makomandoo!
Uongo.
Marekani haitawaliwi na Wayahudi.
Watu mnapenda sana hizi stori za Wayahudi na kuwafanya waonekane kama kwamba wao ni species tofauti kabisa na sisi wengine.
Marekani haitawaliwi na Wayahudi. Acheni uongo wenu bana.
ona hizi akili za kijimaSema Makomandoo wa mabwana zao Amerika, Wale mashoga wanaweza kuwa makomandoo!
Nenda kwenye tovuti ya BBC utafute makala moja inayo sema hivi:Nini chanzo cha urafiki kati ya Marekani na Israel uisome ndo utajua mambo mengi sana na kuacha kujilisha upepo.Mkuu,
Karibu West Europe yote imewekwa na hao hao Wayahudi wa USA. Noana vitu vingi hufahamu, POLE.
Ntakupa vitu kadhaa ukasome na ukimaliza, hutakiwa Mtu yuleyule.
Achana na story za kusema jamaa wanasingiziwa. Jamaa ni Wababe zaidi ya unavyoweza kuota.
Kamsome Mtu anaitwa GEORGE SOROS hadi Mandela aliomba asije kuishambulia South Africa.
Kasome haya madude mawili yanaitwa Blackrock & Vanguard.
Ukiwa mvivu kusoma, kasome hii kitu halafu uje tuongee:
The American Israel Public Affairs Committee - AIPAC . Hawa jamaa ndiyo Viongozi wote wa WEST wanakimbilia kwenda KUJIUZA. Usipoenda wewe, wataenda wenzio na Uchaguzi Watashinda.
![]()
Israel lobby in the United States - Wikipedia
en.wikipedia.org
![]()
The pro-Israel groups planning to spend millions in US elections
A handful of groups, led by Aipac, have been a powerful force in American politics – but has Israel’s war in Gaza changed the equation?www.theguardian.com
Marekani ina watu zaidi ya milioni 330. George Soros ni mtu mmoja.Kwa hiyo ni uongo kwamba George Soros hayupo? Blackrock, Vanguard na AIPAC havipo?
German, France, UK nk, viongozi wamewekwa na Soros.
Ila hii inaanza kubadilika kwa Viongozi ambao ni PRO Putin kama Hungury kuingia madarakani EU.
Nkoi, hapa tunakwenda kwa DATA, bila sisi kuweka maneno:
![]()
The pro-Israel groups planning to spend millions in US elections
A handful of groups, led by Aipac, have been a powerful force in American politics – but has Israel’s war in Gaza changed the equation?www.theguardian.com
Hadi sasa wale Democrat wanaopingana na AIPAC, wameanzisha kitu kinaitwa J STREET. Ila ukiangalia wanachofanya na maneno ya Democrat, unajua lao moja.
Majamaa yana AKILI sana na yana UTAJIRI wa kutisha.
Siyo vitu vya kusimuliwa ila nimeona UTAJIRI wa kutisha wa Wayahudi ingawa sijafika USA.
Mtu pekee wa kuwatisha kwa sasa kiuchumi ni Mchina peke yake.
Nani Jihadist? Kuna mtu pro-America kunizidi mimi humu JF?Kwa hiyo ina maana leo jihadists mmebadilisha gia angani na sasa mnaikubali Marekani kwamba ni kiboko..🤣🤣🤣
Nenda kwenye tovuti ya BBC utafute makala moja inayo sema hivi:Nini chanzo cha urafiki kati ya Marekani na Israel uisome ndo utajua mambo mengi sana na kuacha kujilisha upepo.
Israel ipo hapo mashariki ya kati kwa ajili ya kulinda masilahi ya Marekani na Uingereza kwenye eneo hilo.
Waliona wawapandikize wayahudi pale kwa sababu waliona waarabu hawatabiliki na hawaamiki kuwafanya washirika wa kuaminika.
Ukitaka kujua kuwa Israel ni takataka ithubutu kwenda kinyume na masilahi ya Marekani uone.
Wataje sasa hao wanasayansi wa kiyahudi wanao tegemewa na Marekani tuwaone.Teknolojia za vita Marekani inategemea waisrael
Hizo zingine ni wengineo
Bila Israel Marekani kivita hamna kitu
Ukiwa na bajeti kubwa utaweza pia kupata the best strategists.Bajeti Kubwa bila ya "art of war (strategies)" ni Kazi bure.
Una mapesa mengi hujui kupigana, huna mikakati kabambe ya kumshinda adui, huna mbinu za kumshinda adui.... Watakupiga tu, hamna namna.