Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kabisa washukuru sana mataifa ya jirani kuwakataa wakimbizi wa Palestina yaani kama watu wangekubali kuhama Leo hii habari ingekuwa tofauti sanaHamas bahati yao walikuwa wamefungiwa, ila wangekuwa wamechanganyikana na Watu wa aina tofauti tofauti wangepigwa pre-emptive strikes za maana
Nimerekebisha.Ustaadhat umepata dodoma wine nini au Netanyahu nae amehack vijini vyako
Unaandika huku unatetemeka nini? Wanatawala nini....magofu au!Lakini mpasa sasa hamas ndo watawala wa gaza.
Haya maneno yalisemwa kabla hawajaingia Gaza. Sasa hivi huko Gaza bado martyrs wamejificha mashimoni.Israel waishie hapo imetosha... Wameonyesha ubora kwenye intel na airforce wakisaidiwa na US/CIA / US Airforce, wakaushe sasa, ground invasion watapigwa wachakae... Huo ndio ukweli....
Wanatawala mashimoni kama panya. Wakitoa pua tu paka anawatafunaLakini mpasa sasa hamas ndo watawala wa gaza.
Kiuhalisia hawezi kuishia hapo.Israel waishie hapo imetosha... Wameonyesha ubora kwenye intel na airforce wakisaidiwa na US/CIA / US Airforce, wakaushe sasa, ground invasion watapigwa wachakae... Huo ndio ukweli....
Unapuyanga tu, US ananunua siraha toka kwenye makampuni ya siraha hapo kwake, China & Russia serikali zao zina viwanda vyao ...gharama haziwezi fanana.Bila bajeti hakuna cha art wala science of war.
Bajeti ndo kila kitu.
Magaidi wacha Mungu??Nimerekebisha.
Yuke mshenzi. Majini ya kishetani, ya uharibifu, yote yapo nae sasa hivi. Lakini hayajawshi kuwashinda binaadam wacha Mungu.
Amini watu wote Duniani ila sio Waislam has Iran.Jana usiku wanajeshi wa Israeli walirudishwa nyuma baada ya kujaribu kuingia Lebanon
🇱🇧⚡️🏴☠️ Enemy media: As soon as the announcement of the start of the ground invasion was made, instead of our forces advancing inward, they retreated due to the sudden intensity of the fire.Kiuhalisia hawezi kuishia hapo.
Hezbollah wanawasaidia Hamas, hata uwezo wa Hamas, mafunzo na silaha wanapewa na Hezbollah, nao wanatoa Iran kupitia Revolutionary guard.
Hezbollah wako Lebanon ambayo inapakana na Israel. Wanataka kutengeneza “buffer zone” ili shambulizi kama lile la Hamas la oct 17 lisiweze kurudiwa.
Pia siwezi kushangaa wakiamuwa kwenda hadi İran ambao ndo source.
🇱🇧⚡️🏴☠️ Enemy media: As soon as the announcement of the start of the ground invasion was made, instead of our forces advancing inward, they retreated due to the sudden intensity of the fire.Jana usiku wanajeshi wa Israeli walirudishwa nyuma baada ya kujaribu kuingia Lebanon
Wewe leta tu ubishi wa masjid ubwabwa lakini hata siku moja hautakaa uone serikali yoyote ya Marekani inayoipinga taifa la Israel ndio utaamini hichi ninachokuambia.Obama baba yake mKenya, kaingia madarakani umeona Kenya imepata misaada ya mabilioni kutoka US, F35 na Air defenses?
What's so special about jews?
Wenzetu hawaendeshi nchi kwa mihemko ya kikabila, udini na kujuana kama nyie, mambo ya uzanzibari na uTanganyika...
Mapendekezo na mawazo masuala ya kijeshi, uchumi, vita n.k lazima bunge linakaa kura zinapigwa, hata pesa kuisaida Ukraine bunge US walikaa kupiga kura juzi hapa....
Hawakai wayahudi kupanga wanalotaka .... bungeni huko hadi wenye vinasaba vya ujaluo wapo...
Hizi story mnatoa wapi?
Nategemea update kama ya Hamas lakini huku naona waisrael hawatoi update ya uvamizi wa aridhini.Hakuna taarifa yoyote kwenye hili
Msemaji wa jeshi la Israel amekanusha.
Tatizo lako unakabia juu sana atashindwa kupumua.Usihame kwenye mada, umesema US bila msaada wa Israel haiwezi vita, hapa unabadilika na kusema jews kutengeneza atomic bomb...
Baada ya kukubana kwamba hata US inamaliza vita 1945, Israel haikuwepo au ilikuwa si kitu ..
Haya twende sawa, aliyetengeneza myahudi, unajua ndege iliyobeba ambayo ilikua ni bomber b29?
B29 ilikuwa ni boeing, Boeing company ilianzishwa na William Boeing ambaye kiasili ni mjerumani...
Haya nielezee Boeing isinge kuwepo hilo atomic nani angelibeba kuipiga Hiroshima?
Nguvu ya Israel ni vita ya juu.Nategemea update kama ya Hamas lakini huku naona waisrael hawatoi update ya uvamizi wa aridhini.
Licha ya kashkash walizopata Hezbollah, naamini watanifurahisha.Nguvu ya Israel ni vita ya juu.
Ardhini hawezi huwa anachapika kiulaini mno!
Na ndiyo maana kasema ni limited operation. Anapima kwanza kina cha maji, hakutaka kuingia full.
Kwa sasa Hizbullah hawezi kufanya operation kubwa kwa sababu imethibitika ndani mwao kuna mapandikizi ya Israel. Siri zao zinavuja sana.Licha ya kashkash walizopata Hezbollah, naamini watanifurahisha.
Ngoja tuendelee kufatilia.
The Israeli military announces it is sending more forces to the Lebanese border area in anticipation of a Hezbollah ground assaultHakuna taarifa yoyote kwenye hili
Msemaji wa jeshi la Israel amekanusha.