Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Hamas bahati yao walikuwa wamefungiwa, ila wangekuwa wamechanganyikana na Watu wa aina tofauti tofauti wangepigwa pre-emptive strikes za maana
Kabisa washukuru sana mataifa ya jirani kuwakataa wakimbizi wa Palestina yaani kama watu wangekubali kuhama Leo hii habari ingekuwa tofauti sana
 
Ustaadhat umepata dodoma wine nini au Netanyahu nae amehack vijini vyako
Nimerekebisha.

Yuke mshenzi. Majini ya kishetani, ya uharibifu, yote yapo nae sasa hivi. Lakini hayajawshi kuwashinda binaadam wacha Mungu.
 
Israel waishie hapo imetosha... Wameonyesha ubora kwenye intel na airforce wakisaidiwa na US/CIA / US Airforce, wakaushe sasa, ground invasion watapigwa wachakae... Huo ndio ukweli....
Haya maneno yalisemwa kabla hawajaingia Gaza. Sasa hivi huko Gaza bado martyrs wamejificha mashimoni.
 
Israel waishie hapo imetosha... Wameonyesha ubora kwenye intel na airforce wakisaidiwa na US/CIA / US Airforce, wakaushe sasa, ground invasion watapigwa wachakae... Huo ndio ukweli....
Kiuhalisia hawezi kuishia hapo.

Hezbollah wanawasaidia Hamas, hata uwezo wa Hamas, mafunzo na silaha wanapewa na Hezbollah, nao wanatoa Iran kupitia Revolutionary guard.

Hezbollah wako Lebanon ambayo inapakana na Israel. Wanataka kutengeneza “buffer zone” ili shambulizi kama lile la Hamas la oct 17 lisiweze kurudiwa.

Pia siwezi kushangaa wakiamuwa kwenda hadi İran ambao ndo source.
 
Bila bajeti hakuna cha art wala science of war.

Bajeti ndo kila kitu.
Unapuyanga tu, US ananunua siraha toka kwenye makampuni ya siraha hapo kwake, China & Russia serikali zao zina viwanda vyao ...gharama haziwezi fanana.
 
Jana usiku wanajeshi wa Israeli walirudishwa nyuma baada ya kujaribu kuingia Lebanon
Amini watu wote Duniani ila sio Waislam has Iran.

Iran alisema Isreael akiingia Lebabon ataingia na yeye, subiri uone... alafu Wairan ndio wanauza viongozi wa Hamas na Hezbollah
 
Kiuhalisia hawezi kuishia hapo.

Hezbollah wanawasaidia Hamas, hata uwezo wa Hamas, mafunzo na silaha wanapewa na Hezbollah, nao wanatoa Iran kupitia Revolutionary guard.

Hezbollah wako Lebanon ambayo inapakana na Israel. Wanataka kutengeneza “buffer zone” ili shambulizi kama lile la Hamas la oct 17 lisiweze kurudiwa.

Pia siwezi kushangaa wakiamuwa kwenda hadi İran ambao ndo source.
🇱🇧⚡️🏴‍☠️ Enemy media: As soon as the announcement of the start of the ground invasion was made, instead of our forces advancing inward, they retreated due to the sudden intensity of the fire.

🚩 @ResistanceTrench
 
Jana usiku wanajeshi wa Israeli walirudishwa nyuma baada ya kujaribu kuingia Lebanon
🇱🇧⚡️🏴‍☠️ Enemy media: As soon as the announcement of the start of the ground invasion was made, instead of our forces advancing inward, they retreated due to the sudden intensity of the fire.

🚩 @ResistanceTrench
 
Obama baba yake mKenya, kaingia madarakani umeona Kenya imepata misaada ya mabilioni kutoka US, F35 na Air defenses?

What's so special about jews?

Wenzetu hawaendeshi nchi kwa mihemko ya kikabila, udini na kujuana kama nyie, mambo ya uzanzibari na uTanganyika...

Mapendekezo na mawazo masuala ya kijeshi, uchumi, vita n.k lazima bunge linakaa kura zinapigwa, hata pesa kuisaida Ukraine bunge US walikaa kupiga kura juzi hapa....

Hawakai wayahudi kupanga wanalotaka .... bungeni huko hadi wenye vinasaba vya ujaluo wapo...

Hizi story mnatoa wapi?
Wewe leta tu ubishi wa masjid ubwabwa lakini hata siku moja hautakaa uone serikali yoyote ya Marekani inayoipinga taifa la Israel ndio utaamini hichi ninachokuambia.

Marekani hata achaguliwe rais muislam leo hii lakini cha kwanza kwake ni kuiunga mkono taifa la Israel na hilo halina mjadala.

Inaonekana hujui kabisa nyingi za fedha zinazotumika kwenye kampeini za uchaguzi wa Marekani zitatoka wapi.
 
Usihame kwenye mada, umesema US bila msaada wa Israel haiwezi vita, hapa unabadilika na kusema jews kutengeneza atomic bomb...
Baada ya kukubana kwamba hata US inamaliza vita 1945, Israel haikuwepo au ilikuwa si kitu ..

Haya twende sawa, aliyetengeneza myahudi, unajua ndege iliyobeba ambayo ilikua ni bomber b29?

B29 ilikuwa ni boeing, Boeing company ilianzishwa na William Boeing ambaye kiasili ni mjerumani...

Haya nielezee Boeing isinge kuwepo hilo atomic nani angelibeba kuipiga Hiroshima?
Tatizo lako unakabia juu sana atashindwa kupumua.

Nenda naye taratibu.
 
Nategemea update kama ya Hamas lakini huku naona waisrael hawatoi update ya uvamizi wa aridhini.
Nguvu ya Israel ni vita ya juu.

Ardhini hawezi huwa anachapika kiulaini mno!

Na ndiyo maana kasema ni limited operation. Anapima kwanza kina cha maji, hakutaka kuingia full.

Hivyo tusitarajie kwa hii operation yake Israel atatupatia update za kueleweka.
 
Nguvu ya Israel ni vita ya juu.

Ardhini hawezi huwa anachapika kiulaini mno!

Na ndiyo maana kasema ni limited operation. Anapima kwanza kina cha maji, hakutaka kuingia full.
Licha ya kashkash walizopata Hezbollah, naamini watanifurahisha.

Ngoja tuendelee kufatilia.
 
Licha ya kashkash walizopata Hezbollah, naamini watanifurahisha.

Ngoja tuendelee kufatilia.
Kwa sasa Hizbullah hawezi kufanya operation kubwa kwa sababu imethibitika ndani mwao kuna mapandikizi ya Israel. Siri zao zinavuja sana.

Kwa sasa pakubwa wana deal na mapandikizi ya Israel huku wakiendelea na operation za kawaida.
 
Hakuna taarifa yoyote kwenye hili

Msemaji wa jeshi la Israel amekanusha.
The Israeli military announces it is sending more forces to the Lebanese border area in anticipation of a Hezbollah ground assault

While threatening a ground offensive into southern Lebanon itself, the Israeli army now states that it is preparing for the event that Hezbollah takes the initiative to avenge hundreds of civilians killed in Israel’s indiscriminate bombing attacks throughout the country, including in Beirut.
 
Back
Top Bottom