Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

Conspiracy theories nyingi dhidi ya Wayahudi na influence yao ni ujuha tu.

Kuwapa sifa wasizostahili na kuwatupia lawama wasizostahili ni ujuha.

Marekani haiendeshwi na Wayahudi.
Naona Majuha wamekuwa wengi. Wote wanasema kuhusu Blackrock...
Robert F Kennedy Jr 👇👇
 
Attachments

  • VID-20241119-WA0018.mp4
    6.2 MB
Back
Top Bottom