Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana makomandoo wetu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamaa wanapasulia matofali ya sementi vifuani..., jamaa wanapigwa mipini mikubwa kibao inakatika katika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wananchi hapa kwenye maonesho ya miaka 50 ya mapinduzi akiwemo our president. wamefurahishwa na mbwembe na madoido ya makomandoo ya jeshi la ulinzi tanzania kama vile kupasua matofali ya cement kwa kichwa na tumbon,mateke ya juu ,fimbo,karatee nakadhalika.
 
Vifaa vya kijeshi sasa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hawamshindi huyu jamaa
 
Attachments

  • 1389517515252.jpg
    1389517515252.jpg
    57.9 KB · Views: 2,505
Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana makomandoo wetu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu Jumong ; Wajua BAJETI ya wizara ya ULINZI/jeshi ni asilimia ngapi? Samahani hujui kama wakina mama wazazi hospitalini wanashare kitanda; Dawa hakuna;Matibabu shida,nk... Shuleni hakuna waalimu tosha,Madarasa hakuna madawati na vitabu!!
Elewa kipato chote cha nchi huenda kwa Makomando.. Yote hayo kwaogopa wasichukue Utawala!!
 
Wananchi hapa kwenye maonesho ya miaka 50 ya mapinduzi akiwemo our president. wamefurahishwa na mbwembe na madoido ya makomandoo ya jeshi la ulinzi tanzania kama vile kupasua matofali ya cement kwa kichwa na tumbon,mateke ya juu ,fimbo,karatee nakadhalika.
Hata mimi nimewapenda ni kweli wamekaa kikomandoo umejazia mbaya na wanaonekana ni wakakamavu. Utafikiri ni kwenye movi Tanzania tunatisha kwenye nimeamini tunaweza kumchakaza Kagame.
 
Jumong una chembechembe za uoga wewe,wewe utatishwaje na dume mwenzio bana! angalia usije ukaachia uharo apo ulipo.
 
isijekuwa tumewachukua wanamazingaombwe kumtishia m7
 
Wakati mkifuatilia mapinduzi ya zanziba polisi wa arusha sana sana wa kituo cha usa fuatilieni jambazi lilopigwa risasi na polisi mpakani maeneo ya holili likatoroka liko arusha hospitali ya sharak linatibiwa kwa usiri mkubwa sana kwani amegawa hela kwa daktari na manerse(sisters) ili wasipeleke repot polis (hospitali iko 1km kutokea arusha mjini kabla ujafika makumira university)
 
Back
Top Bottom