MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Hata mimi nimewapenda ni kweli wamekaa kikomandoo umejazia mbaya na wanaonekana ni wakakamavu. Utafikiri ni kwenye movi Tanzania tunatisha kwenye nimeamini tunaweza kumchakaza Kagame.
Tunataka wazalendo kama ninyi mnaolipenda jeshi lenu