Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Hivi wale uzeeni watafika kweli? na kama watafika watakuwaje? maana kupigwa tofali la kichwa kisa ubishoo!! kwan wakipigwa risasi haitapita? maana vitani hakuna matofali ila ni risasi!
umeoana ehe...wabongo hata movies zao zina kuwa na scene unnecessary kabisa..nilikuwa najiuliza km wenzio ngumi tuu huaribu ubongo...inakuweje yale matofali....halafu hao ndio wanahitajika kuwa smart and intelligent..sijui km wale wanaweza fundishwa kuhack computers, kusoma lugha km tano na kushika utamaduni fulani ili wakiwa ktk mission waweze hata jifanya raia hali ikiwa mbaya na kuhitajika kujificha kwa raia hadi msaada ufike.
Niliwahi ona shooting ya rap za kibongo wanamrusha mtoto juu na kumdaka wakiwa ktk duara,bongo movies wengine wanagombania mtoto mdogo wanamvuta na kupayuka,mtoto analia mbaya kwa maumivu wao wanaona kuwa ndio wamefanya movie yenye uhasilia wa kijinga...ni scenes hazina maana kabisa na hatari sana.Ukiwauliza hicho kipande kilisaidia nini kuweka mvuto ktk hilo hakuna.
nadhani Seal wa Kimarekani wakiangalia,au hata assassins wa Kagame wakiangalia watakuwa wakicheka sana....km vile mtu anaangalia tren ya makaa ya mawe na tren ya umeme. ktk kizazi hiki
