Kwa ninavyojua mimi Comando ni mtu intelligence.Anafanya mambo ya kuisoma system ya adui kwa utaalam mkubwa..Haya mambo yakuvunjiwa vitofali kichwan then mkaniambia kuwa in comando ndo nayaona bongo..Kwanza comando wa jeshi huwa haonekani kizembe sembuse kufanya upuzi wakuvunjiana vitofali huku mkipiiga hung haa kama mazombie..Wale ni waruka judo tu comando hayuko vile kabisa...Na ubongo utafanyaje kazi za kitaalam kama comando wakati unautumia kuvunjia vitofali? Wabongo emb kueni basi!!!
Si uhame nchi, ile ilikuwa kuonesha how competent and strong they are, we unadhan ndo kazi yao kuvunja matofali? Msogelee bas uone shughuli yake