East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Kwa ninavyojua mimi Comando ni mtu intelligence.Anafanya mambo ya kuisoma system ya adui kwa utaalam mkubwa..Haya mambo yakuvunjiwa vitofali kichwan then mkaniambia kuwa in comando ndo nayaona bongo..Kwanza comando wa jeshi huwa haonekani kizembe sembuse kufanya upuzi wakuvunjiana vitofali huku mkipiiga hung haa kama mazombie..Wale ni waruka judo tu comando hayuko vile kabisa...Na ubongo utafanyaje kazi za kitaalam kama comando wakati unautumia kuvunjia vitofali? Wabongo emb kueni basi!!!
Inteligence ni idara inayojitegemea kwenye Jeshi.Usiyoyajuaa utashindwa kuelewa! Inteligence hutumiwa na komandoo kufanya vitu vyao.Inteligence ni fani inayojitegemea na wanaoijua barabara wengi si makomandoo!!Polisi wa upelelezi si lazima awe ndiye atakaye shika jambazi sugu.Kuna vikosi vya kupambana na majambazi sugu wanaotumia inteligence iliyokusanywa na askari wa upelelezi!
Usichanganye vitu unavyoangalia kwenye sinema na mambo ya majeshi.