Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Always good in Maroon Beret...!!
View attachment 131800
Dah! hizo maroon berets safi kabisa
Hivi wale uzeeni watafika kweli? na kama watafika watakuwaje? maana kupigwa tofali la kichwa kisa ubishoo!! kwan wakipigwa risasi haitapita? maana vitani hakuna matofali ila ni risasi!
Kwa ninavyojua mimi Comando ni mtu intelligence.Anafanya mambo ya kuisoma system ya adui kwa utaalam mkubwa..Haya mambo yakuvunjiwa vitofali kichwan then mkaniambia kuwa in comando ndo nayaona bongo..Kwanza comando wa jeshi huwa haonekani kizembe sembuse kufanya upuzi wakuvunjiana vitofali huku mkipiiga hung haa kama mazombie..Wale ni waruka judo tu comando hayuko vile kabisa...Na ubongo utafanyaje kazi za kitaalam kama comando wakati unautumia kuvunjia vitofali? Wabongo emb kueni basi!!!
umeoana ehe...wabongo hata movies zao zina kuwa na scene unnecessary kabisa..nilikuwa najiuliza km wenzio ngumi tuu huaribu ubongo...inakuweje yale matofali....halafu hao ndio wanahitajika kuwa smart and intelligent..sijui km wale wanaweza fundishwa kuhack computers, kusoma lugha km tano na kushika utamaduni fulani ili wakiwa ktk mission waweze hata jifanya raia hali ikiwa mbaya na kuhitajika kujificha kwa raia hadi msaada ufike.
Niliwahi ona shooting ya rap za kibongo wanamrusha mtoto juu na kumdaka wakiwa ktk duara,bongo movies wengine wanagombania mtoto mdogo wanamvuta na kupayuka,mtoto analia mbaya kwa maumivu wao wanaona kuwa ndio wamefanya movie yenye uhasilia wa kijinga...ni scenes hazina maana kabisa na hatari sana.Ukiwauliza hicho kipande kilisaidia nini kuweka mvuto ktk hilo hakuna.
nadhani Seal wa Kimarekani wakiangalia,au hata assassins wa Kagame wakiangalia watakuwa wakicheka sana....km vile mtu anaangalia tren ya makaa ya mawe na tren ya umeme. ktk kizazi hiki
Kwa ninavyojua mimi Comando ni mtu intelligence.Anafanya mambo ya kuisoma system ya adui kwa utaalam mkubwa..Haya mambo yakuvunjiwa vitofali kichwan then mkaniambia kuwa in comando ndo nayaona bongo..Kwanza comando wa jeshi huwa haonekani kizembe sembuse kufanya upuzi wakuvunjiana vitofali huku mkipiiga hung haa kama mazombie..Wale ni waruka judo tu comando hayuko vile kabisa...Na ubongo utafanyaje kazi za kitaalam kama comando wakati unautumia kuvunjia vitofali? Wabongo emb kueni basi!!!
Dunia Nyingine hii jamani! vita vinapigwa kisayansi! mtu yupo america, anakundia tz. utamfanya nini na misuli pekee?
Watu hawalijui hilo. huyu mdau aliyebeza laiti angepitia hata mafunzo ya mgambo nadhani asingekuja kuanzisha hii thread.
Hadi mtu anafuzu kuwa comando sio mchezo.
Duh umepiga madongo sana .......well, sidhani km jamaa waliwakilisha vyema....sikupenda sana zoezi la kupiga matofali kwa kichwa....hata km inawezekana ikibidi ila si vizuri sana kufanya mara nyingi, km ngumi tuu huaribu ubongo km tuonavyo kwa mohamed Ali....ni vipi sasa hawa jamaa kutakiwa Intelligent halafu wanachezea ubongo ktk show zisizo na ulazima kihivyo.
Kama tunawaona wapo fiti tuwatafutie mechi japo ya kirafiki.
Mkuu kwani wewe unaelewa nini dhima ya yale maonyesho?!
!
ukomando wa zama za mawe za kale.
Wafanye na ya kupigwa risasi za kichwa maana katika uhalisia hakuna matofali ni ris@si na mabomu tu mtindo mmoja.
Dah! hizo maroon berets safi kabisa
Ndo tofauti kati yako unaojali ubongo na Komando..
Mkuu unatupotezea muda kusoma habari ambayo haina kichwa wala miguu.Au unataka kuongeza idadi ya thread zako?
Subiri watu waanzishe uchangie kama huwezi kuandika kitu kinachoeleweka.
Mkuu Nicholas naona umewabeza sana hao jamaa lakini kiufupi mimi nimewakubali sana hao jamaa! Kiufupi hao jamaa walikuwa wanaonyesha mbinu ndogo ndogo za mapigano pamoja na ushupavu ama ukakamavu wako! Au wewe ulitaka watumie siraha kamili kabisa kama wanapambana na adui? kama vipi ungejipenyeza hadi katikati yao kwa dhamira ya kuwadhuru ili upate utamu wao!
Usiponde kila kitu ndugu yangu! kiufupi tu tofauti na kauli yako (refer red) wale jamaa walikuwa very smart, otherwise zama kwenye dictionary ujue maana ya neno 'smart'. Ukweli wale jamaa nilipowaangalia baada ya muda nikang'amua kwamba tunalala na kuamuka salama kwa sababu ya wale jamaa! kama unabisha fuatilia kujua CV za hao jamaa wamepitia wapi mpaka wakafikia hapo!!! Na hata huyo rafiki yako kagame akiwaona hao jamaa ananywea! Hujui why hata M7 aliachia speech nzuri ya kusifia, kushukuru tena kwa upole kabisa! Amuka kaka usiwabeze wanaume wanakuhakikishia usalama wa maisha yako huku unaendelea kula raha na familia yako!!