Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,849
sitashangaa kusikia hivyo kwamba hawa ni wanamazingaombwe walioingia jeshi kwa fani yao hiyohahahaaahaah au power Mabula karudi kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sitashangaa kusikia hivyo kwamba hawa ni wanamazingaombwe walioingia jeshi kwa fani yao hiyohahahaaahaah au power Mabula karudi kazini
Kama tunawaona wapo fiti tuwatafutie mechi japo ya kirafiki.
Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana makomandoo wetu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hawamshindi huyu jamaa
isijekuwa tumewachukua wanamazingaombwe kumtishia m7
Siyo kukashifu ukiwa nyuma ya keyboard;Kawachokoze uone hizo nyama za kwenye sambusa zinavyofanya kazi.hakuna kitu minyama tu hiyo hata kwenye sambusa ipo ..
Halafu.wanasifa sana hawa jingine limepigwa mpin wa kichwa, mpini umevunjika, likabua kofia limepigwa tena umevinjika duu
Huyu ni komando wa kubumba, yaani wa maigizo kama Kanumba enzi za uhai wake aliigiza akiwa tajili, ila ktk mazingira ya kawaida sivyo alivyo.Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana makomandoo wetu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sio komando ni mcheza sinema anaeigiza kama komando.kwani huyu ni komando?
Siyo kukashifu ukiwa nyuma ya keyboard;Kawachokoze uone hizo nyama za kwenye sambusa zinavyofanya kazi.
M7 anafuatilia kwa makini Zana za Kijeshi.
Hao ndio makomando wa jwtz!
JWTZ (Jeshi la Wakurya Tangu Zamani).