Kapicha mkuu make wengine 2po mbali kidogo!
Hawamshindi huyu jamaa
Vifaa vya kijeshi sasa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu Jumong ; Wajua BAJETI ya wizara ya ULINZI/jeshi ni asilimia ngapi? Samahani hujui kama wakina mama wazazi hospitalini wanashare kitanda; Dawa hakuna;Matibabu shida,nk... Shuleni hakuna waalimu tosha,Madarasa hakuna madawati na vitabu!!Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana makomandoo wetu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hata mimi nimewapenda ni kweli wamekaa kikomandoo umejazia mbaya na wanaonekana ni wakakamavu. Utafikiri ni kwenye movi Tanzania tunatisha kwenye nimeamini tunaweza kumchakaza Kagame.Wananchi hapa kwenye maonesho ya miaka 50 ya mapinduzi akiwemo our president. wamefurahishwa na mbwembe na madoido ya makomandoo ya jeshi la ulinzi tanzania kama vile kupasua matofali ya cement kwa kichwa na tumbon,mateke ya juu ,fimbo,karatee nakadhalika.
hahahaaahaah au power Mabula karudi kaziniisijekuwa tumewachukua wanamazingaombwe kumtishia m7
Jamaa wanapasulia matofali ya sementi vifuani..., jamaa wanapigwa mipini mikubwa kibao inakatika katika!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums