Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep

Kwa hali ilivyo sasa katika EPL ni kwamba Club ama kocha wa Club anae/inayochukulia Sare/draw kama matokeo basi wasahau/asahau kabisa ubingwa wa EPL wakati wote ambao Guardiola yupo Man City kama kocha

Club ambayo inataka kweli kuchukua Ubingwa inatakiwa kupambana kushinda tu, ikiweka kichwani kuwa matokeo ya Sare sio matokeo ya kupata kwa anaetaka ubingwa
 
EPL zijazo bado zipo mkononi kwa Guardiola, ongezea na Guardiola ndio anaefanya usajili mzuri kuliko yeyote pale Uingereza

Huzuni na masikitiko na pengine vilio kwa washabiki wa Club za Arsenal na Liverpool ambao ni kama wana gundu na taji hilo la Uingereza
 
Labda hyo Epl lakin Lile FA na Carabao hayo makombe hayaeleweki na wala formula hayana
 
Labda hyo Epl lakin Lile FA na Carabao hayo makombe hayaeleweki na wala formula hayana

Huko nako ana nafasi kubwa sana pengine kuliko yeyote maana hata kama ni ya mtoano lakini anaedominate ligi kote pia hu'dominate'
 
ManCity atafikisha 120 points msimu huu
Safari bado ndefu sana , ,30 games not played

Man City ana rivalry na Manchester United tu nayo sio derby kubwa. Wakati huo Liverpool ana rivalry na Club mbili na zote derby kubwa ( Manchester United na Everton) , derby ambazo hakuna kati yao hapo ataekubali kupigwa nje ndani
 
Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep

Kwa hali ilivyo sasa katika EPL ni kwamba Club ama kocha wa Club anae/inayochukulia Sare/draw kama matokeo basi wasahau/asahau kabisa ubingwa wa EPL wakati wote ambao Guardiola yupo Man City kama kocha

Club ambayo inataka kweli kuchukua Ubingwa inatakiwa kupambana kushinda tu, ikiweka kichwani kuwa matokeo ya Sare sio matokeo ya kupata kwa anaetaka ubingwa
Msimu anandandiwa dandiwa,Liverpool wanapata matokeo ya kibingwa San,refer game kadhaa hata ya Jana ya Leicester
 
Huyo pep anatakiwa apambane kuchukua UEFA kuhusu EPL hiyo naona klop anamachungu nayo sana msimu huu
 
Back
Top Bottom