Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

Guardiola ataendelea kubeba hilo kombe mpaka aondoke England, kwa hali iliyotokea jana, coming behind from 2-0 down mpaka dakika ya 75, then anashinda 3-2 anabeba kombe, simuoni wa kumzuia Man City mbele ya safari.

Tena mbaya zaidi ni pale ambapo City kuna wakati aliongoza ligi kwa pengo la pointi zaidi ya kumi, akaja kuharibu ikabaki pointi moja, lakini pamoja na hiyo pointi moja bado Liverpool na ujanja wao wote wameshindwa kuipita, Guardiola is the best in this century.
 
Back
Top Bottom