Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo ni wazi kwamba mataji yajayo ya EPL yapo mkononi mwa Pep
Kwa hali ilivyo sasa katika EPL ni kwamba Club ama kocha wa Club anae/inayochukulia Sare/draw kama matokeo basi wasahau/asahau kabisa ubingwa wa EPL wakati wote ambao Guardiola yupo Man City kama kocha
Club ambayo inataka kweli kuchukua Ubingwa inatakiwa kupambana kushinda tu, ikiweka kichwani kuwa matokeo ya Sare sio matokeo ya kupata kwa anaetaka ubingwa