ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.
Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi
Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.
Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi
All in All tusishabikie Vita