Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.

Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi

Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.

Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi

All in All tusishabikie Vita
wewe ni wazi huna ujualo, bado una usingizi wa pono sasa masaa 8 mbona lengo la iran limetimia kulipua ile kambi ya jeshi? kwani hao israel kuripua Damascas wajua walitumia muda gani? Israil ajibu tu aone sasa atajibiwa kwa seconds
 
Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.

Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi

Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.

Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi

All in All tusishabikie Vita
Mkuu hii issue hujaielewa kabisa ndo maana umekurupuka na uzi. Iran alitumia siraha aina tatu tofauti kwenye hili shambulizi
Drone ndo zilizotumia masaa 8, Cruise missiles ambazo mostly hua ni subsonic zilitumia masaa mawili huku ballistic missiles zikitumia dk 15-20 kufika Israel. Kama umefuatilia hata kwa vyombo vya habari Israel kwenyewe wanakili ballistic missiles zili hit targets, ndo yale mahandaki unayoyaona kwenye military base na kule Negev. Kwahiyo next time mkijichanganya tena kumchokoza mu Ajemi huenda kwenye dozi mtakayopewa ballistic missiles zikawa nyingi, sidhani kama mna resources za ku intercept hii mizigo kila ndani ya dk 15
 
Vitu vina hesabu zake kijana Kwan huyo Iran amechukua muda Gani kujibu? IDF wameshasema watajibu kwa muda muafaka maana kipaumbele chao kwasasa ni kumaliza operation kule Gaza na Lebanon wakishamalizana na hao mbuzi itakuwa zamu ya Iran, operation sio suala la kuchambana kwamba nipe nikupe.
Lakini si tulikubaliana kuwa shambulizi la Israel kwenye ubalozi wa Iran ulikuwa ni mtego ili Iran ajae ?
Sasa Iran amesha kubali kujaa mnabadili maneno.
 
Vipi kuhusu kambi hii?
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    227.4 KB · Views: 2
  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    227.4 KB · Views: 2
Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.

Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi

Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.

Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi

All in All tusishabikie Vita
Hahahaha Mr uharo utasema yote
 
Huku ni kujifariji tu baada ya kushindwa kufikia lengo.
Israel imeichokoza Iran kwa kulipua ubalozi wake kule Syria na kuua maafisa wa juu kabisa wa Iran Saba. Iran ikaapa kulipiza kisasi kikali, ikatoa onyo zito, ikajiandaa kwa wiki mbili, mwisho ikafyatua makombora ya masafa marefu ya aina tatu tofauti (Drones, Cruise, missile) na karibu yote yakazuiwa bila kuleta madhara, na hapo hapo Iran ikajipongeza imefanikiwa!!
Halafu wewe unadai Iran ilikuwa haina nia ya kulipiza kisasi bali kupiga mikwara tu! Wayahudi wanaogopa mikwara? How?

Sema wazi tu, jaribio la Iran kulipiza kisasi kwa 99% limeshindwa.
Hivi wewe kwa akili yako ulitegemea Israel na washirika wake watatoka hadharani waseme yale mashambulizi ya Iran yalifanikiwa? Kwa propaganda lazima waseme wameyatungua yote lakini ukweli wanaujua. Hata wewe ukichapwa makofi mbele ya mkeo hutotoka hadharani ukatangaza. Israel alitegemea Iran watapiga maeneo ya makazi na kuua watu wengi ili Israel ipate huruma ya walimwengu na kusaidiwa kivita lakini Iran wamepiga vituo vya kijeshi ambako hata kama kuna wanajeshi wamekufa ni rahisi kuficha ukweli. Ukitaka kuona ni jinsi gani gani yale mashambulizi yaliukuwa makali na yamewaumiza angalia jinsi Israel na washirika wake wanavyohaha kwenye jumuiya ya kimataifa kutaka Iran iwekewe vikwazo. Swali la kujiuliza ni kuwa kama makombora yote yalidunguliwa Israel imeapa kulipiza kisasi kwa lipi?
 
Too much know halafu hakuna unachokijua, hakuna uharibifu uliofanywa na iran ndani ya israel hata sehemu moja!! Target yao ilikuwa ni military bases na wameshindwa!!
Wameshindwa wewe ulikuwepo Israel? Hivi wewe ukibakwa utatoka hadharani useme ukweli? Israel kachapika ndiyo maana vikao haviishi na kaazimia kulipiza kisasi sasa jiulize analipa kisasi kwa lipi kama hajapigwa?
 
We mtoa mada unatakiwa ukasome masomo ya strategy ili ufahamu Tacktic aliyo tumia Iran, ilikuwa ni smart sana. Hizo drones zina kwenda speed ya 150km/hrs alizutuma kwa kuzigawa kwa magroup matatu.

Alijua wazi akizutuma drones US, UK, France, Egypt, Saua Arabia, UAE na Jordan watasumbuka kuhangaika kuzitungua, tena alisha wapa na time ili aone na awesome vizuri vipi watatumia njia za kuziangusha hizo drones.

Pili kila Missiles alizo tume zilikwenda kwa lengo lakungojea drones zinapokaribia anga la Jordan ndio anatuma Missiles tena hizo Missiles alizo tuma sio hizo mpya alizo nazo kwenye inventory yake ni stock ya zamani 😄

Iran wako smart aisay na Israel mimi naomba ajibu shambulio, ili akione cha mtema kuni, tunasikia tu nyimbo tajibu tajibu kujibu hatajibu

Iran kawaonyesha dunia nzima nawatangazai nitapiga wapi tena kabla ya masaa 72 si huyo Israel huwa anakushtukia kama mwizi anavyo vamia majumba 😄
 
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. 😂😂😂

Makombora aliyotumia Iran yote ni mapya Lengo likiwa ku evade missile defense lakini zilishindwa.
Iran walitumia Kheibar ballistic missile hii walilizindua mwaka juzi 2022. Hili ni Hypersonic ballistic missile linakimbia mara 16 zaidi ya kasi ya sauti.

Kheibar Shekan ballistic missiles and Emad ballistic missiles were also used in the attack, according to IRNA. Kheibar Shekan missiles, unveiled in 2022, are one of Iran's most modern ballistic missiles, IRNA said, and the Emad missiles can carry a payload of 1,600 pounds. The state news agency said the cruise missiles used in the attack were Paveh missiles, which it said were capable of attacking targets from multiple directions by taking varied paths.

Bado wakatumia Emad ballistic missile hili nalo ni la juzijuzi likashushwa ndo ujue air defenses za myahudi sio za mchezo.

View: https://youtu.be/ADbQlXM0oGY?si=xxBs2up-yKviXtwf

Wakati huohuo Jana Russia kapigwa ATACAMS kwenye kambi yake inayolindwa na S400 wameshindwa kuyaintercept 😂

View: https://twitter.com/Tendar/status/1780454176633262390?t=8zo8GwTkShErni7UAYLaOg&s=19
 
[URL unfurl="true" media="youtube:ADbQlXM0

Wakati huohuo Jana Russia kapigwa ATACAMS kwenye kambi yake inayolindwa na S400 wameshindwa kuyaintercept 😂

View: https://twitter.com/Tendar/status/1780454176633262390?t=8zo8GwTkShErni7UAYLaOg&s=19

dogo wacha uwongo hizo silaha alizo tumia Iran zote ni za zamani hio Emad ni copy ya Shahab katazame ni tokea 2015 msiwe mnacopy anacho ongea muingereza na muamerica.

Hakutumia hypersonic wacheni uwongo.

Khebar missiles haikutumika kabisa.

Nyie kama mnadai Israel kaungusha hizo Missiles na drones zote isipokuwa missiles 7 tu ndio zimepenya hebu katuonyesheni hio Base mbili alizo piga Iran. Mnaficha nini?

Iran anasema nusu ya silaha zake zimefika kwenye target alizo zikusudia , na hio bada ya kuwatangazia analipa kisa baada ya masaa 72 unajua kwanini?

Intelligence ya Iran ilishu gundua US, UK, France, Egypt, Saud Arabia. UAE na Jordan wote wamejipanga kumkinga Israel, akawa anataka apime uwezo wao na hicho ndicho alicho kuwa anakitafuta Iran.

Iran kagundua kumbe Israel na hizo nchi ni marsmba kwenye karatasi tu, hawana uwezo wa kuzuia shambulizi la Iran hata siku moja.

Na Iran anasema wazi kabisa silaha alizo zitumia c hatari kama anazo zikusudia kuzitumia kwenye shambulizi la pili, ikiwa Israel atasubutu kugusa Iran.

US na UK wamewazuia Jordan wasiruhusu Israel kutumia Air space yake, lakini Mrusi kamwambia njoo huku Syria, tumia Air Space ya Syria, we jiulize kwanini? Ukiwa na akili utapata jibu.
 
Ofcoz sio dogo hilo lakini bado swali halijajibiwa. Hilo ndio lilikua lengo la Iran kurusha makombora yote yale.
Iran anatambua uhalisia wa mambo kuwa akiipiga Israel basi US na Europe yote watamvamia na kiuwezo hawezi kuwafikia kutokana na sanctions kibao walizomuekea. Lakini strategically amefanikiwa kuwaaibisha Israel na kuwashtua wananchi wake na kwa hivyo amefanikiwa lengo lake. Nimeona sehemu wameandika alilijaza anga kwa drones ili kuwakeep busy halafu ndiyo akarusha zile missiles.
 
Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.

Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi

Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.

Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi

All in All tusishabikie Vita
umeambiwa lile trela tu mkitaka makombora dkk 2 kwenye utosi wa benja basi jibuni mapigo
 
Iran ni wa kisamehe tu, maana kumshambukia ni kuua raia wake qasio na hatia.

Ila tabia yake ya kufadhili vikumdi vya UGAIDI soon itaatokea ouani.
 
Cruise missile walizotumia zina speed sawa na Kh-69 ya Warusi iliyobomoa power plant moja Ukraine juzi kati
 
dogo wacha uwongo hizo silaha alizo tumia Iran zote ni za zamani hio Emad ni copy ya Shahab katazame ni tokea 2015 msiwe mnacopy anacho ongea muingereza na muamerica.

Hakutumia hypersonic wacheni uwongo.

Khebar missiles haikutumika kabisa.

Nyie kama mnadai Israel kaungusha hizo Missiles na drones zote isipokuwa missiles 7 tu ndio zimepenya hebu katuonyesheni hio Base mbili alizo piga Iran. Mnaficha nini?

Iran anasema nusu ya silaha zake zimefika kwenye target alizo zikusudia , na hio bada ya kuwatangazia analipa kisa baada ya masaa 72 unajua kwanini?

Intelligence ya Iran ilishu gundua US, UK, France, Egypt, Saud Arabia. UAE na Jordan wote wamejipanga kumkinga Israel, akawa anataka apime uwezo wao na hicho ndicho alicho kuwa anakitafuta Iran.

Iran kagundua kumbe Israel na hizo nchi ni marsmba kwenye karatasi tu, hawana uwezo wa kuzuia shambulizi la Iran hata siku moja.

Na Iran anasema wazi kabisa silaha alizo zitumia c hatari kama anazo zikusudia kuzitumia kwenye shambulizi la pili, ikiwa Israel atasubutu kugusa Iran.

US na UK wamewazuia Jordan wasiruhusu Israel kutumia Air space yake, lakini Mrusi kamwambia njoo huku Syria, tumia Air Space ya Syria, we jiulize kwanini? Ukiwa na akili utapata jibu.
Unabwabwaja sana wakati huna uthibisho.
Iran wenyewe kupitia chaneli yao ya Taifa walithibisha kutumia halafu ww mbongo toka Tandale kwa tumbo unabisha, Kheibar sio Mara kwa kwanza kutumika lilitumika mapema mwaka huu Syria na Iraq kama kisasi baada ya Iran kushambuliwa na IS.

Iran's state news agency, IRNA, said its domestically built Shahed 131 and 136 drones were used in the attack, the larger of which have a range of around 1,200 miles.
Kheibar Shekan ballistic missiles and Emad ballistic missiles were also used in the attack, according to IRNA. Kheibar Shekan missiles, unveiled in 2022, are one of Iran's most modern ballistic missiles, IRNA said, and the Emad missiles can carry a payload of 1,600 pounds. The state news agency said the cruise missiles used in the attack were Paveh missiles, which it said were capable of attacking targets from multiple directions by taking varied paths.

Halafu tulishawaambia Israel siku zote haombi ruhusa, hutoa taarifa tu iwe kwa Marekani au yeyote yule.

View: https://youtu.be/npCDk5S5fcY?si=9ZZcFnkZB_dmjmnd
 
Back
Top Bottom