Nchi kadhaa zilihamia Kule,sio Israeltuone ubora wa Israel kiulinzi
All in All tusishabikie Vita
Ulaya na Marekani wanaiogopa Iran?Kama yeye ni mwanaume kweli angetakiwa ajibu ili aneshewe sasa picha kamili......mpaka muda huu kaufyata mkia........ hawezi kuthubutu kujibu........sio yeye wala mabwana zake ulaya
Daniel hagai yule msemaji wa idf bado anaweweseka kila akiona zile debris zilizotunguliwaSijui kwa nini wachambuzi hawataki kufukunyua habari na kuzitafakari! Iran alikuwa anatuma ujumbe tu na siyo kuanzisha vita kamili.
Hivi watu walitaka Iran arushe makombora yenye madhara Israel si vita vingezuka pale Mashariki ya Kati! Sababu ya kuzua vita vikubwa ghafla ghafla ili iweje?
Iran karusha makombora na drone zaidi ya 300! Hata kama zimedunguliwa, lakini zimekosesha utulivu nchini Israel, mfano watoto walishindwa kulala usiku kucha, je, huo siyo ujumbe tosha kutoka Iran? Hivi unaweza kupata utulivu huku angani kuna milio ya droni na makombora ya kutungua ndege?
Hapo umeuliza jibu......lete swali......Ulaya na Marekani wanaiogopa Iran?
Kwa hiyo lengo la Iran kurusha makombora yote yale lilikua kuwakosesha watu utulivu na usingizi? 🤣🤣Iran karusha makombora na drone zaidi ya 300! Hata kama zimedunguliwa, lakini zimekosesha utulivu nchini Israel, mfano watoto walishindwa kulala usiku kucha, je, huo siyo ujumbe tosha kutoka Iran? Hivi unaweza kupata utulivu huku angani kuna milio ya droni na makombora ya kutungua ndege?
Huku ni kujifariji tu baada ya kushindwa kufikia lengo.Sijui kwa nini wachambuzi hawataki kufukunyua habari na kuzitafakari! Iran alikuwa anatuma ujumbe tu na siyo kuanzisha vita kamili.
Hivi watu walitaka Iran arushe makombora yenye madhara Israel si vita vingezuka pale Mashariki ya Kati! Sababu ya kuzua vita vikubwa ghafla ghafla ili iweje?
Iran karusha makombora na drone zaidi ya 300! Hata kama zimedunguliwa, lakini zimekosesha utulivu nchini Israel, mfano watoto walishindwa kulala usiku kucha, je, huo siyo ujumbe tosha kutoka Iran? Hivi unaweza kupata utulivu huku angani kuna milio ya droni na makombora ya kutungua ndege?
Umekurupuka tu kukimbilia kufungua nyuzi ktk vitu ambavyo hauvijui. PUMBAFU!Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.
Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi
Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.
Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi
All in All tusishabikie Vita
watu wanatoka nchini mwao na kufika Israel ila kombora halijafika , bado unataka kuendeleza ubishi , jifunze kukaa kimya muda mwingineNchi kadhaa zilihamia Kule,sio Israel View attachment 2965561
uharibifu unahitaj waokoaji au vikao ? ila mtu mweusi bana akipenda kitu anageuka mwehu , watu wanajadili way up dhidi ya adui wewe bado una akili za kisisimu , kutatua ttzo la leo mpk ipite miaka 5Umekurupuka tu kukimbilia kufungua nyuzi ktk vitu ambavyo hauvijui. PUMBAFU!
Iliyotumia masaa nane sio makombola ni drone na drone zilitumwa ili kwenda kuzifanya mifumo ya ulinzi wa anga kuwa busy. Makombola yanywe yalitumia dk 5 tu kupiga tageti na kufanya uwalibifu mkubwa
Uwalibifu uliofanywa na iran imepelekea huko Tel Aviv kufanya vikao visivyokwasha yaani kama vile vikao vya wanga.
Kama hakukuwa na uhalibifu kwanini wameumia sana na kufanya vikao kila siku vya kujadili jinsi ya kulipiza kisasi?
Kanuni ya wayahudi ni moja tu siku zote, kila jaribio la kutaka kuwaangamiza wayahudi litajibiwa kikamilifu tena mara dufu kuwaangamiza wote waliojaribu.Umekurupuka tu kukimbilia kufungua nyuzi ktk vitu ambavyo hauvijui. PUMBAFU!
Iliyotumia masaa nane sio makombola ni drone na drone zilitumwa ili kwenda kuzifanya mifumo ya ulinzi wa anga kuwa busy. Makombola yanywe yalitumia dk 5 tu kupiga tageti na kufanya uwalibifu mkubwa
Uwalibifu uliofanywa na iran imepelekea huko Tel Aviv kufanya vikao visivyokwasha yaani kama vile vikao vya wanga.
Kama hakukuwa na uhalibifu kwanini wameumia sana na kufanya vikao kila siku vya kujadili jinsi ya kulipiza kisasi?
ccmu utawaju tu , muda wote wanawaza kila mtu ni inferior mwenzaoDaniel hagai yule msemaji wa idf bado anaweweseka kila akiona zile debris zilizotunguliwa
Niliandika juu ya hili. Iran inavyoonekana hakuwa na lengo la kuiumiza Israel kusababisha vita ilikuwa ni show tu ya kuwafurahisha raia wake na Ayatollah kuonyesha kuwa haogopi.Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.
Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi
Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.
Tuzungumze ukweli, Iran Kachemka. Nilitegemea angalau angetumia hypersonic moja tu tuone ubora wa Israel kiulinzi
All in All tusishabikie Vita
unaona dogo hilo? Airport zilijaa abiria wakikimbia kutoka Israel. Ndege 87 zimeondoka ile siku moja tu kuelekea nchi nyingine.Kwa hiyo lengo la Iran kurusha makombora yote yale lilikua kuwakosesha watu utulivu na usingizi? 🤣🤣
Ofcoz sio dogo hilo lakini bado swali halijajibiwa. Hilo ndio lilikua lengo la Iran kurusha makombora yote yale.unaona dogo hilo? Airport zilijaa abiria wakikimbia kutoka Israel. Ndege 87 zimeondoka ile siku moja tu kuelekea nchi nyingine.