Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

Kama yeye ni mwanaume kweli angetakiwa ajibu ili aneshewe sasa picha kamili......mpaka muda huu kaufyata mkia........ hawezi kuthubutu kujibu........sio yeye wala mabwana zake ulaya
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Wabongo bhana.....
 
Swali la kwanza la muisrael na baba yake america je yatafika?baada ya kufika sasa amekubali na mzigo utakofuata ni kasi ya mwanga wa radi ukiwaka limefika kaa tayari kwa maafa!
 
๐Ÿ˜„ Hebu tuonyeshe hio habari ya Iran inasema katumia hypersonic

View: https://youtu.be/P56-wIZimKY?si=5d5VxGX14Y8VMVce
 
Lakini pia taarifa ya Irani ilitolewa saa 72 kabla na walisema maeneo watakaopiga na walisema hawatopiga Raia katika mission yao
 
Hakuna ubishi, ukweli ni kwamba jaribio la Iran kurusha makombora 300 kuelekea Israel kwa 99% halikufanikiwa, makombora mengi yalizuiwa, huo ndio uhalisia.
Mambo mengine yote ni story tupu za kufarijiana.
 
Wegni mnakurupuka, Iran hakuwa na nia ya Kuleta madhara, angetaka kushambulia serius sio kwamba hana fighter jets zinazoweza kupeleka payload ya maana kwa ambush. Pili acha uongo hamna drone inaenda 40km/hr.
 
๐Ÿ˜„ Hebu tuonyeshe hio habari ya Iran inasema katumia hypersonic

View: https://youtu.be/P56-wIZimKY?si=5d5VxGX14Y8VMVce
Ndo maana nakwambia unabwabwaja bila kua na taarifa kamili.

Haya bishana na Iran state media bhas
Kheibar Shekan ballistic missile is one of Iran's most modern ballistic missiles.

It is an Iranian solid-fuel ballistic missile unveiled by the Islamic Revolution Guards Corps Aerospace Force in 2022 and it has the ability to hit targets with a range and a radius of 1,450 kilometers (900 miles).
 
Wewe nipe wapi Iran kasema alitumia Fattah hypersonic.

Yani wewe unaenda kutuletea infom kwenye Google c ujinga hu kuhusu range wote tunajua, wewe tueleze wapi Iran kasema katumia Hypersonic Missiles zake?

Khebar c hypersonic missiles tulicho kuwa tunabishana na wewe ulisema, Iran hana hypersonic missiles.

Ukarukia missiles zilizo piga Iran ni mpya nikakuambia silaha alizotumia Iran ni za zaman hio Khebar Shekan katumia ni ya zaman ni copy ya missiles za nyuma ndio mana inaitwa khebar 4 kuanzwa kuwa toleo la 2022 c kwamba ni mpya we bwege.

Unarukia huku na kule kujifanya mjuzi haya tuambie Iran katumia khebar 4 missiles ngapi? Na ghadir ngapi?
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa eti kombola likiwa linakaribia kwenye target linatumia 3000km zaidi ya saa 1 haha tena hapo ndo speed imeongezeka.
 
Shekhe mbona jazba?!
Wapi nimetaja Fattah?!

Tatizo lako hujui Ila mbishi, kuna tofauti Kati ya
Hypersonic missile
Hypersonic ballistic missile
Hypersonic rocket

*Hypersonic missile inakimbia 5x kasi ya sauti huku ikifanya maneuver kuevade missile defense.
*Hypersonic ballistic missile hizi zinafuata ballistic trajectory lakini kasi yake 5x zaidi ya speed ya sauti mfano: Kinzal ya mrusi, Minuteman III ya Marekani, nk

*Hypersonic rockets mfano ni Falcon-9 za Elon Musk. Kasi yake ni hypersonic.

Nenda kajifunze tofauti ya Subsonic, Supersonic na Hypersonic uache kuropoka ropoka madishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ