STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Yaaani mtaendelea kuchezea kichapo mwaka huu mpaka mujute hata kama nyinyi wa humu ni wakaidi wa kuamini kinachotokea huko haitosaodia wala kubadilisha maanataarifa ina report Urusi imesema so still huelew wamereport maneno ya Urusi wala hawajapost as news walio ithibitisha wao
Majina una ndugu UkraineUkraine wakipigwa ni wepesi kusema kweli tumepigwa. lakin hapa mrusi kachemka propaganda za kitoto.
mageneral gani hawana majina. zelensky anatembea hadi mstar wa mbele kabisa yan jana walirusha kombora leo tunaskia zeleboy kaenda kupatembelea wanashindwa kufanya kitu.
hahahah
Unamaanisha DW wanachapisha habar za uongo kwa wavuti yaotaarifa ina report Urusi imesema so still huelew wamereport maneno ya Urusi wala hawajapost as news walio ithibitisha wao
Mkuu mbona wateseka sana?!taarifa ina report Urusi imesema so still huelew wamereport maneno ya Urusi wala hawajapost as news walio ithibitisha wao
Na wenye hao Bibisii kila habari ya mafanikio ya warusi wananukuu inamaana wao hawana uwezo wa kuzipata moaja kwa moja habari njema kwa jeshi la Urusi.ttzo akili zako fupi , hiyo ni nukuu sio taarifa iliyothobitishwa na vyombo vya habari , tofautisha nukuu na taarifa iliyothibitishwa ( "urusi imesema " tofautisha na taarifa ikiana " majenerali wa ukraine kadhaa wameuawa ktk shambulizi ) nyiny ndo wale vijana wanaishambulia bbc swahili kwa kusema habari waliyo tangaza ni propaganda , na ukiangalia habari yenyew imeoneshwa ni nukuu kabisa , wabongo ni hamnazo kbs
Kama hujui kusoma ile lugha yao si unyamaze? Hizo screenshoot umepita kama huzioni.Source
Unafahamu maana ya neno CLAIMS?Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====
View attachment 2265724
View attachment 2265736
Wateseka nini mkuu?!Unafahamu maana ya neno CLAIMS?
au ndo kipere kinawasha muda wote?
Hakuna haja ya mipasho katika habari hii. Hii ni vita. Inawezekana wanachosema Urusi ni kweli au ni propaganda tu. DW wanasema hawajaweza kuthibitisha madai hayo ya Urusi; wao wamemnukuu msemaji wa Urusi tu. Kawaida kuua majenerali sio habari ndogo. Wanafahamika. Mrusi akitaka habari hiyo ionekane kweli, ataje na kusambaza majina na hata kuweka picha za hao majenerali kama Ukraine walivyofanya.Tulia mkuu dawa ipenye vizuuri, sindano isije kukatikia...
Kwa hiyo kwa akili zako unadhani waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vikiwemo vya Uingereza, Marekani, na hata vya Tanzania wanaoripoti kila siku vifo kwenye vita vya Ukraine huwa wanatembea na wanajeshi ima wa Russia au wa Ukraine ili wakiua hao waandishi wanaenda kuhesabu watu waliouawa pengine kusoma vitambulisho vyao (kuthibitisha) kisha waripoti?!
Acha kulialia, jifunze pia kupokea na kuzivumilia taarifa usizopenda kuzisikia....pia waweza kutozifatilia kama zinakuumiza zaidi moyo wako.
Taaarifa hizi MK254 siamini kabisa kwamba huwa huwa huzioni 😅 😅 😅 maana sikuonagi kabisa nadhani hadi data huwa unazima
Vyombo vilivyoripo ni vya magharibi ujue? unadhani wataleta uthibitisho, anyway Ukrein amekanusha hii habari?"Russian defence ministry claimed"....
Tukileta zetu huwa mnasema propaganda za magharibi, haya......
Japo sisi huleta na majina ya majenerali kabisa.
Nenda katembee na jeshi la Urusi, kila wakiua uwe unaenda kuangalia waliouawa na kutuletea taarifa.Hakuna haja ya mipasho katika habari hii. Hii ni vita. Inawezekana wanachosema Urusi ni kweli au ni propaganda tu. DW wanasema hawajaweza kuthibitisha madai hayo ya Urusi; wao wamemnukuu msemaji wa Urusi tu. Kawaida kuua majenerali sio habari ndogo. Wanafahamika. Mrusi akitaka habari hiyo ionekane kweli, ataje na kusambaza majina na hata kuweka picha za hao majenerali kama Ukraine walivyofanya.
Hata hivyo haya sio mambo ya kushabikia. Ni mjinga tu ndiye anayeweza kuumia moyo au kufurahia vita kishabiki. Watu waliokomaa wanaangalia picha kubwa: maangamizi ya binadamu na rasilimali yasiyo na sababu ya maana (senseless/wanton self destruction of humankind).
Russia wenyewe wamesema propaganda imetamalaki sana taarifa za russia kwenye hii vitaUrusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====
View attachment 2265724
View attachment 2265736
Endelea kuteseka zaidi....Russia wenyewe wamesema propaganda imetamalaki sana taarifa za russia kwenye hii vita
Russia ilitangaza kuisambaratisha Ukraine kwa 72 hours sasa mwezi wa 5 mnaishi kwa propagandaEndelea kuteseka zaidi....
Ila usinywe sumu tu
Vyombo vilivyoripo ni vya magharibi ujue? unadhani wataleta uthibitisho, anyway Ukrein amekanusha hii habari?
Lete uthibitisho mkuu.Russia ilitangaza kuisambaratisha Ukraine kwa 72 hours sasa mwezi wa 5 mnaishi kwa propaganda
Pole Sana mkuu huu mwaka wenu kuteseka😂😂😂Leta source ya chombo cha magharibi kilicho ripoti, na mtaje majina ya majenerali kama ambavyo tunataja wa Urusi moja kwa moja.