MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hii pole ingekua ya maana kama mngefaulu kuiteka Kyev, lakini kwa sasa hata mfanye nini maporini na tumiji twa mipakani wala hainiumizi kichwa.Pole Sana mkuu huu mwaka wenu kuteseka😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pole ingekua ya maana kama mngefaulu kuiteka Kyev, lakini kwa sasa hata mfanye nini maporini na tumiji twa mipakani wala hainiumizi kichwa.Pole Sana mkuu huu mwaka wenu kuteseka😂😂😂
Uliwahi kuona bwana ndugu embu basi tuchukulie kama watubwazima wenzio mzee duuh!!Zele hawezi kushambuliwa kwa sheria za kivita na hata uwepo wake hapo urusi wanajulishwa ndio sheria za vita.
Kwisha habari yao, nadhani picha limeshaisha hilo kilichobaki ni kumpelekea moto zelensky na BidenUrusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====
View attachment 2265724
View attachment 2265736
Unatumia jina zuri lakini akili ni kisoda asee sijajua kwa apa unashabikia nini manKwisha habari yao, nadhani picha limeshaisha hilo kilichobaki ni kumpelekea moto zelensky na Biden
Tuko kwenye sehemu nyeti kwanza kwenye rasilimali, twende Kyiev kuna rasilimali Gani mkuu ⁉️. Hiyo itakuwa sehemu ya mwisho kama tutaona umuhimu huo na tutakuwa tumeizingira yote Kama MarliepolHii pole ingekua ya maana kama mngefaulu kuiteka Kyev, lakini kwa sasa hata mfanye nini maporini na tumiji twa mipakani wala hainiumizi kichwa.
Sasa hizo akili kisoda ni za kwako ndio maana haujanielewa na siku nyingine usijaribu kuingilia mazungumzo ya wakubwa.Unatumia jina zuri lakini akili ni kisoda asee sijajua kwa apa unashabikia nini man
Hamna kitu hapoKama hujui kusoma ile lugha yao si unyamaze? Hizo screenshoot umepita kama huzioni.
DW was not able to independently verify the claims.Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====
View attachment 2265724
View attachment 2265736
Tuko kwenye sehemu nyeti kwanza kwenye rasilimali, twende Kyiev kuna rasilimali Gani mkuu ⁉️. Hiyo itakuwa sehemu ya mwisho kama tutaona umuhimu huo na tutakuwa tumeizingira yote Kama Marliepol
Nani kakuambia Ukraine ni nchi ndogo? Km za mraba tz yenyewe haifikii UkraineMlivyopiga za uso pale Kyev nilipata faraja sana maana mawazo yalikua yamenisonga baada ya kuona msafara, ila kwa sasa kila siku napata fulu mzuka ka kuona Urusi na minguvu yake yote hana lolote ka kainchi kadogo.
![]()
Nani kakuambia Ukraine ni nchi ndogo? Km za mraba tz yenyewe haifikii Ukraine
Mlikuwa mnatuvuzia kwenye mashule, mahospitali, makanisa na mlikuwa mnatumia makazi ya watu. Tukabadili tactics kila kilicho mbele yetu tunalipua na kusonga mbe. Sasa hivi mnahaha hakuna pa kujificha ni mkong'oto kwenda mbele
2019 sio mwaka wa nyuma?duh miaka ya nyuma ipi mkuu kaingia nadarakani mwaka 2019 au aliwai kuwa rais huko kwenu bonyokwa maana nasikia mwaka wa 10'mpo ntu mbili na panya road
Tangu lini uliona Russia inatangaza majina ya waliouawa?!!? Ni Mara chache mno....lakini kwa Ukraine ikiua inatangaza hata kwa koplo...ukiona watu wanatangaza majina ya waliokufa na kufurahia vifo hivyo ujue wana vimelea vya ugaidi...Ukraine wakipigwa ni wepesi kusema kweli tumepigwa. lakin hapa mrusi kachemka propaganda za kitoto.
mageneral gani hawana majina. zelensky anatembea hadi mstar wa mbele kabisa yan jana walirusha kombora leo tunaskia zeleboy kaenda kupatembelea wanashindwa kufanya kitu.
hahahah
Putin dawa yake inachemka jikoni nadhani itakuwa somo kwa all doctor in the world. Keep cool and keep calming 🤠Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.
Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.
Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====
View attachment 2265724
View attachment 2265736
We jamaa ni lipumbavu sana, hiyo picha inaonyesha ramani ya Ukraine. Hakuna kitu kingine zaidi kama una hoja lete hoja. Acha ujingaWacha kuwa mjinga, angalia hiyo picha mara kumi upate aibu....
![]()