Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

Pole Sana mkuu huu mwaka wenu kuteseka😂😂😂
Hii pole ingekua ya maana kama mngefaulu kuiteka Kyev, lakini kwa sasa hata mfanye nini maporini na tumiji twa mipakani wala hainiumizi kichwa.
 
Zele hawezi kushambuliwa kwa sheria za kivita na hata uwepo wake hapo urusi wanajulishwa ndio sheria za vita.
Uliwahi kuona bwana ndugu embu basi tuchukulie kama watubwazima wenzio mzee duuh!!
 
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.

Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.

Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====

View attachment 2265724
View attachment 2265736
Kwisha habari yao, nadhani picha limeshaisha hilo kilichobaki ni kumpelekea moto zelensky na Biden
 
Kwisha habari yao, nadhani picha limeshaisha hilo kilichobaki ni kumpelekea moto zelensky na Biden
Unatumia jina zuri lakini akili ni kisoda asee sijajua kwa apa unashabikia nini man
 
Hii pole ingekua ya maana kama mngefaulu kuiteka Kyev, lakini kwa sasa hata mfanye nini maporini na tumiji twa mipakani wala hainiumizi kichwa.
Tuko kwenye sehemu nyeti kwanza kwenye rasilimali, twende Kyiev kuna rasilimali Gani mkuu ⁉️. Hiyo itakuwa sehemu ya mwisho kama tutaona umuhimu huo na tutakuwa tumeizingira yote Kama Marliepol
 
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.

Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.

Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====

View attachment 2265724
View attachment 2265736
DW was not able to independently verify the claims.
Watoe majina na picha wao wamejuaje ni mageneral ,toa picha na majina kama Ukraine wanavyofanya wasituletee utopolo na magumashi
 
Lavrov:"Ongea na raia wa Iraq au Libya ambao nchi zao zimeharibiwa. Alafu NATO inajiita muungano wa kujihami. Wanatuambia tusiwe na wasiwasi na Ukraine kujiunga na NATO haitakuwa tishio kwa Ru. Urusi ina haki ya kujiamulia yenyewe ni kipi inachukulia kama tishio kwa usalama wak." https://t.co/EG32AfTThV
 
Tuko kwenye sehemu nyeti kwanza kwenye rasilimali, twende Kyiev kuna rasilimali Gani mkuu ⁉️. Hiyo itakuwa sehemu ya mwisho kama tutaona umuhimu huo na tutakuwa tumeizingira yote Kama Marliepol

Mlivyopigwa za uso pale Kyev nilipata faraja sana maana mawazo yalikua yamenisonga baada ya kuona msafara, ila kwa sasa kila siku napata fulu mzuka kwa kuona Urusi na minguvu yake yote hana lolote kwa kainchi kadogo.

where-are-ukraine-&-russia.jpg
 
Mlivyopiga za uso pale Kyev nilipata faraja sana maana mawazo yalikua yamenisonga baada ya kuona msafara, ila kwa sasa kila siku napata fulu mzuka ka kuona Urusi na minguvu yake yote hana lolote ka kainchi kadogo.

where-are-ukraine-&-russia.jpg
Nani kakuambia Ukraine ni nchi ndogo? Km za mraba tz yenyewe haifikii Ukraine

Mlikuwa mnatuvuzia kwenye mashule, mahospitali, makanisa na mlikuwa mnatumia makazi ya watu. Tukabadili tactics kila kilicho mbele yetu tunalipua na kusonga mbele. Sasa hivi mnahaha hakuna pa kujificha ni mkong'oto kwenda mbele
 
Nani kakuambia Ukraine ni nchi ndogo? Km za mraba tz yenyewe haifikii Ukraine

Mlikuwa mnatuvuzia kwenye mashule, mahospitali, makanisa na mlikuwa mnatumia makazi ya watu. Tukabadili tactics kila kilicho mbele yetu tunalipua na kusonga mbe. Sasa hivi mnahaha hakuna pa kujificha ni mkong'oto kwenda mbele

Wachana na mambo ya mraba, itazame hii picha upate aibu..

where-are-ukraine-&-russia.jpg
 
Kipindi Operation ya kijesh inaanza nchin Ukraine. Ru aliwekewa vikwaazo na 1 USD ilikuwa sawa na 130+ Ruble. Leo imefika mpaka 55.5 Rubles. Na huu ni mwanzo tu ni lazima itazidi USD sababu tunaelekea dunia ya Ruble for Oil,Gold,Gas,Metal etc. Petrodollar ndyo imekufa ivyo! https://t.co/6YqpspY4rS
 
Ukraine wakipigwa ni wepesi kusema kweli tumepigwa. lakin hapa mrusi kachemka propaganda za kitoto.
mageneral gani hawana majina. zelensky anatembea hadi mstar wa mbele kabisa yan jana walirusha kombora leo tunaskia zeleboy kaenda kupatembelea wanashindwa kufanya kitu.
hahahah
Tangu lini uliona Russia inatangaza majina ya waliouawa?!!? Ni Mara chache mno....lakini kwa Ukraine ikiua inatangaza hata kwa koplo...ukiona watu wanatangaza majina ya waliokufa na kufurahia vifo hivyo ujue wana vimelea vya ugaidi...
 
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk.

Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi la Ukraine wameuawa kwenye shambulio hilo.

Pia makombora hayo ya Kalibr yametumika kushambulia na kuteketeza pisi kumi za howitzer za Marekani na magarivita karibu 20 ya nchi za magharibi yaliyoingizwa Ukraine kama msaada na kuhifadhiwa huko Nikolayev.
=====

View attachment 2265724
View attachment 2265736
Putin dawa yake inachemka jikoni nadhani itakuwa somo kwa all doctor in the world. Keep cool and keep calming 🤠
 
Back
Top Bottom