Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

We
We jamaa ni lipumbavu sana, hiyo picha inaonyesha ramani ya Ukraine. Hakuna kitu kingine zaidi kama una hoja lete hoja. Acha ujinga

Bado hujaipitia mara kumi kama nilivyokuamrisha, IQ yako ndogo hutaelewa hadi uitazame mara kumi, hapo utakuta wewe ni wale mazombi wa kidini ambao mumeshikiliwa akili.
 
Kunampumbavu mmoja anafurahia ,mwenzie akikosa utamu wa kiporo cha wali na Maharage watu,JAMANI VITA SIO TUNGULI ZA BABU ZENUU
 
Majenerali wa Ukraine itakuwa walikuwa wanajadilili namna ya kusalimu amri katika vita.Kwa idadi hiyo jeshi la Ukraine itakuwa limebakiwa na kruta watupu na wengi wao sasa wanakimbia uwanja wa vita.
 
jifunz kutofautisha nukuu na taarifa iiyothibitishwa na mtangazaj
🤣🤣🤣 So hiyo ni nukuu ama imethibitishwa na mtangazaji?
Na hapo imeripotiwa na mtangazaji ambaye analetewa baada ya kupata habari kutoka kwa chanzo ambacho ameona kinaaminika na habari inasema ni Russia Defense ministry,ww unataka toka kwa nani uamini na kama source ndio hicho chombo DW source yake ni wizara ya ulinzi ya Urusi ama wataka nini tena?
Si vibaya kukubali kupuyanga,utakua zwazwa mara moja kisha ...........professional km fid Q🤣🤣🤣
 
Leta source ya chombo cha magharibi kilicho ripoti, na mtaje majina ya majenerali kama ambavyo tunataja wa Urusi moja kwa moja.
DW na majina inamaana bomu limebeba na attendance eti??? Ujinga ulioje,majina majina, we umeambiwa wamepigwa missile from a distance then wameua, na mnasemaga Mrusi kumpga Ukraine si story,wao majina wanataka waprove nni???tulia dawa iwaingie ZZZZ
 
Hii pole ingekua ya maana kama mngefaulu kuiteka Kyev, lakini kwa sasa hata mfanye nini maporini na tumiji twa mipakani wala hainiumizi kichwa.
🤣🤣🤣Huyu jamaa anajikuta Muukraine kabisaaa,eti hainiumizi kichwa 🤣🤣🤣
 
DW na majina inamaana bomu limebeba na attendance eti??? Ujinga ulioje,majina majina, we umeambiwa wamepigwa missile from a distance then wameua, na mnasemaga Mrusi kumpga Ukraine si story,wao majina wanataka waprove nni???tulia dawa iwaingie ZZZZ

Tuliwapa majina ya majenerali wa Urusi, nyie mumejifichia kwenye ngonjera, leta surce na majina la sivyo fyata.
 
🤣🤣🤣Huyu jamaa anajikuta Muukraine kabisaaa,eti hainiumizi kichwa 🤣🤣🤣

Aisei mngeiteka Kyev mbona ningepata tabu sana, ila mpaka sasa siamini Urusi ambayo tulidhani tunaijua miaka yote ndio hii ilipigwa za uso na kuikimbia Kyev.
 
Tuliwapa majina ya majenerali wa Urusi, nyie mumejifichia kwenye ngonjera, leta surce na majina la sivyo fyata.
Wale wanaojulikana majina ni wale waliouwawa ktk battle filed, waliufanyiwa ambush na maiti zao kukaguliwa

Hao majenerali wa ukrane hawakuwa ktk battle filed, walitumiwa kombola la kalibr na kombola haliwezi kujua majina ya majenerali
 
Sasa mlijuaje ni majenerali kama mlituma kombora likapiga jengo sehemu, siamini Urusi wameshuka daraja hiki cha ngonjera.
 
Mpaka NATO imepanic! Poland imependekeza sihala zinazopelekwa Ukraine zilindwe! Wakati huo UK imetishia kulitayarisha jeshi lake kupigana vita virefu Ulaya.
 
Hata picha jamani
Picha watoe wapi wakati Majenerali waliokufa walifia kwenye movie na games za kwenye simu. Ground huku wanakwambia kombora halikuwa na attendance. Mbona Ukraine ikiua maafisa Warusi inataja majina na picha inatoa. Hata ikishambulia meli inawaacha wanakana kisha unaona footage za Bayraktar hizo zinasambaa mtandaoni
 
Sasa mlijuaje ni majenerali kama mlituma kombora likapiga jengo sehemu, siamini Urusi wameshuka daraja hiki cha ngonjera.
informer wetu wetu alitupasha na setilaiti ikathibitisha ndipo tukatuma kalibr kumaliza mchezo
 
Wao wenyewe walio toa hiyo habari wanasema hawajathibitisha hilo nao wamesikia tu mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…