Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

sasa hii imekaaje mkuu

maana Poland ipo nyuma ya Ukraine sasa Ukraine anavotaka kushambulia makombora yanyotoka Urusi inakuaje yanaangukia tena nyuma!!!

View attachment 2418933
I hope umesikia taarifa kamili vizuri leo ndiyo imeelezwea vizuri kwenye international TV news channels zote. Ukraine wenyewe wametuma hilo kombora, lakini inadaiwa ilikuwa accident. How it happened, sijui kwa kweli.
 

Rais Volodymyr Zelensky amesema "hana mashaka" kwamba Ukraine haikupaswa kulaumiwa kwa shambulio la kombora lililoua watu wawili nchini Poland siku ya Jumanne.

Bw Zelensky alisema amepokea hakikisho kutoka kwa makamanda wake wakuu kwamba "halikuwa kombora letu".

Pia alitoa wito kwa maafisa wa Ukraine kuruhusiwa kuingia eneo la mlipuko huo na kuwa sehemu ya uchunguzi.

Maoni yake yalikuja wakati Katibu mkuu wa Nato Jens Stoltenberg akisema makombora ya ulinzi wa anga ya Kyiv "yana uwezekano mkubwa" wa kulaumiwa.

Rais wa Marekani Joe Biden pia alitilia shaka kauli ya Bw Zelensky kwamba kombora hilo halikuwa la asili ya Ukraine, akiwaambia waandishi wa habari "huo sio ushahidi".

Mlipuko huo wa kombora ulitokea kwenye shamba huko Przewodow, kilomita 6 tu kutoka mpaka wa Poland na Ukraine.
Mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine ilikuwa katika 'high alert' Jumanne wakati Urusi ilipozindua kile kinachoaminika kuwa wimbi lake kubwa zaidi la makombora tangu uvamizi wake wa Februari.

Shambulio hilo lililotokea wakati wa mkutano wa kilele wa G20 nchini Indonesia, lilizua kilio cha kimataifa, huku habari za mlipuko wa kombora ndani ya eneo la Poland ambaye ni mwanachama wa Nato zikizusha hofu ya kuongezeka hatari kwa vita kati ya NATO na Urusi.

NB:

FSB Kazini !...
 
kherson ipo mashariki kashindwa lenga alipo mshukiwa wake kaenda kulenga karib na Poland , huu sio ukichaa ? inaonesha alipo Zele Pana defence kali sana
Jana naa leo mmeshafafanuliwa kuhusu Cnvention ya UN inaitwa New york Convention ya mwaka 1973.

Hii Convention iliunda sheria ambaayo hata Russia alisaini. Sheria hiyo inakataza Kuua (Trgeted killing) Head of States na Diplomats na familia zao!!!
 
Back
Top Bottom