Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Aliyekana ni Biden
Russia denies striking Poland with missiles
15 Nov, 2022 19:59 / Updated 3 minutes ago

Moscow insists a reported explosion near the Ukrainian border is not related to its military operation
Russia has not carried out any strikes against targets near the Polish-Ukrainian border, the defense ministry in Moscow said on Tuesday, following reports of a missile striking the village of Przewodow and killing two civilians.

Some Western media outlets and politicians have claimed that Russia is responsible for the incident. However, no evidence has been provided to support such assertions.

Missile fragments, photos of which were published by Polish media outlets on the scene, “have nothing to do with Russian weapons,” the Russian Defense Ministry said.

https://www.rt.com/russia/566589-russia-no-strikes-on-poland/amp/
 
Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.

Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
unazan ni wajinga km ww , hata Ghadaf na Sadam walianza kwa kuwaonya kwanza baadae wakaadhibu
 
Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.

Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
Wanasubiri uchunguzi ukamilike kama Urusi anahusika. Kwani NATO anamuogopa urusi sana? Urusi wenyewe wanaogopa mgogoro na NATO
 
Jana tulisema kuhusu zelensky kuzuru KHERSON,tumeanza yaona.
kherson ipo mashariki kashindwa lenga alipo mshukiwa wake kaenda kulenga karib na Poland , huu sio ukichaa ? inaonesha alipo Zele Pana defence kali sana
 
Bado haifahamiki ni ya wapi ? Na huenda yametoka Ukraine yakaanguka Poland kwa bahati mbaya.
 
Biden aliposema hawana uhakika kama ni Russia nikajua huo mzigo sio wa Putin
Haya sasa limedhihirika wala sio Russians
 
Vita ya pili ilianza baada ya Poland kuwa attacked ngoja tuone this time itakuwaje maana pale Poland ni the second Jerusalem Kwa Ashkenazi Jews ,
 
Kipindi kile ujerumani kavamia Poland ndio WWII ikaanza. Putin anatakiwa kuwa makini sana asiingize dunia kwenye vita.
Anajitoa ufahamu anataka kucross the red line ,kuna red lines ambazo ukisogeza pua zako ndio mwisho wako Poland ni mojawapo ile nchi ina historia ndefu sana Europe na connection yake na uyahudi na England ,nyie warusi wa madongo kuinuka kasomeni kuhusiana na lile taifa ,
Mpumbav putin soon atakipata anachokitafuta
 
Mzaha mzaha hii vita inaweza kuwa ndiyo mama wa vita zote duniani
Aisee isiwe hivyo...dah zile laki sita zangu za nmb itakuwaje Sasa vita ya dunia ikianza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo mwanzo nilitaka kukuelewa lakini hapo mwishoni nikaona kumbe na wewe wale wale tu waimba mapambio wa Russia.Poland ni mnyonge kwa Russia? Unawajua vizuri Poland au unawasikia tu.
Unafikiri yanajua nini haya na illiterates ?, Yanajua ushabiki wa yanga na simba tu .
Usikute hata ndio mara ya kwanza kusikia hilo jina Poland
 
Jamaa wa ajabu sana yan wanalazimishia hisia zao,wanafikiri vita vinaendeshwa kimihemuko ,hii ishu huwezi kurupuka bila kufanya uchunguzi kubaini muhusika nani haswa.yan pro russia wengine akili zao madudu ya chooni.Pro rusia wenye utash wametulia ila hawa bangi wanataka waone NATO mda huu wakikiwasha.
Ushabiki wa simba na yanga umeharibu bongo za watu
 
Jamaa wa ajabu sana yan wanalazimishia hisia zao,wanafikiri vita vinaendeshwa kimihemuko ,hii ishu huwezi kurupuka bila kufanya uchunguzi kubaini muhusika nani haswa.yan pro russia wengine akili zao madudu ya chooni.Pro rusia wenye utash wametulia ila hawa bangi wanataka waone NATO mda huu wakikiwasha.
Kuleta ujuaji kwenye mambo ambayo hawana clue
 
Vp ni makombora mangapi ya air defence yamemiss target?Huwa yanaenda kutua wapi?Kwanini hatujawahi kusikia kuwa Kuna Kombora la Ukraine wakati wa interception limemiss target na kwenda kutua eneo fulani au kuleta Madhara fulani?
Kuna mengi hayako wazi kwenye vita hii,propaganda ndio zimetangulizwa mbele!
Wewe ambaye huna propaganda toa taarifa yako , jitu liko mchambawima huko kitomba hewa halafu unajifanya kujua kinachoendelea huko , mxieew
 
Wewe ambaye huna propaganda toa taarifa yako , jitu liko mchambawima huko kitomba hewa halafu unajifanya kujua kinachoendelea huko , mxieew
I hope wewe ni mwanamke,kama ni Mwanaume pole basi Kuna mahali kwenye malezi walikwama!Wanaume Huwa hatusonyi,hizo ni tabia za kike!
Nimeuliza maswali ya msingi,badala ya kunipa majibu unaleta mipasho!
Halafu Mimi nimeuliza maswali,Sasa hayo maneno yote ya Nini?Kama hujui unapiga chini,period!
 
Waafrika wanashabikia upumbavu wa mrusi Sasa nawaonya wale wote wanaoshabikia ujinga wa Rusia kuwa hakuna sehemu Russia atakubali kupigana na NATO na kesho utawaona wakiwa Brussels wakijaribu kuweka mambo sawa.
Mbona wewe unashabikia upumbavu wa Marekani hakuna aliekukataza?
 
Back
Top Bottom