Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuwaamin hawa Waisrael waongo sana mfano hii habari.Na wewe ukaamini?
Hakuna mfumo wa ulinzi wenye precision ya asilimia 100.
Umesoma taarifa ya mwanajeshi wa kike Lacie, aliyeintercept drones 70 kutoka Iran?
Anasema drones nyingi tu walishindwa kuziintercept.
View: https://youtube.com/shorts/RiI62BuA6sA?si=RU2M9km6cVhimN-I
Sikia mlio wa hi habari ulio leta inaonyesha kule kwenye moshi mweusi hawataki kuchukua video
Kawaida zao hao hata wafe 100 watasema mmoja tu 😄Wanasema watu wa nne tu wamepata majeraha😂
😂Kawaida zao hao hata wafe 100 watasema mmoja tu 😄
Hi channel inasema kutokana na channel 12 ya Israel 8 missiles zimeland hapo Tel Aviv wao watatuonyesha hio moja tu 😄Siwezi kuwaamin hawa Waisrael waongo sana mfano hii habari.
View: https://x.com/currentreport1/status/1858592941679485371?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Airport kesho inafungwa