Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuwaita wasanii na kuzungumza nao ni jambo la kawaida kiutendaji.
Kauli hiyo imekuja wiki kadhaa baada ya Waziri Katambi kuwaita baadhi ya wasanii na kuzungumza nao, akieleza kuwa walikuwa wamefanya makosa, ingawa makosa hayo hayakuwekwa wazi hadharani.
Soma Pia: Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa bado Anko T na Niffer ambao hawakufika