Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuwaita wasanii na kuzungumza nao ni jambo la kawaida kiutendaji.
Kauli hiyo imekuja wiki kadhaa baada ya Waziri Katambi kuwaita baadhi ya wasanii na kuzungumza nao, akieleza kuwa walikuwa wamefanya makosa, ingawa makosa hayo hayakuwekwa wazi hadharani.
Lilishawahi kutokea huko nyuma?
Shekhe mwaipopo ni nani na anatumwa na nani?
Dotto magari je?
Kichwa Cha duara mwijaku je?
Mwambie bashite tumemuacha mbali sana kichwani