Pre GE2025 Makonda aingia Mtaani usiku Kuuza Uji shamrashamra kuelekea siku ya Wanawake

Pre GE2025 Makonda aingia Mtaani usiku Kuuza Uji shamrashamra kuelekea siku ya Wanawake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii nchi utapeli kila mahali..
Siasa
Makanisani
Biashara
Watoa huduma
Ndoa
 
Kuuza uji ni ubunifu au ujinga,mi namuona ni mpenda attention tu ,hakuna jambo la maana hapo
Niko Arusha, najua utendaji kazi wake, hapa kuna maonesho ya kibiashara kuanzaa kesho ameyaandaa vizuri sana, wajasiriamali wengi watanufaika kuuza bidhaa zao, Arusha hakujawahi kuwa na kiongozi kama Makonda.
 
Mama anaweza kutupa zawadi ya siku ya Wanawake Duniani kwa kumtumbua Bashite.
 
Naona sinema zinaendelea.

Inawezekana Watanzania ni moja ya jamii yenye uelewa finyu sana kiasi cha kudanganywa kirahisi Sana.
 
Back
Top Bottom