kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Feb 28, 2025 #21 Hii nchi utapeli kila mahali.. Siasa Makanisani Biashara Watoa huduma Ndoa
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 Feb 28, 2025 #22 Creative! PCM ni mkali wa ubunifu
L Laki Si Pesa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2018 Posts 5,085 Reaction score 9,022 Feb 28, 2025 #23 mdukuzi said: Kuuza uji ni ubunifu au ujinga,mi namuona ni mpenda attention tu ,hakuna jambo la maana hapo Click to expand... Niko Arusha, najua utendaji kazi wake, hapa kuna maonesho ya kibiashara kuanzaa kesho ameyaandaa vizuri sana, wajasiriamali wengi watanufaika kuuza bidhaa zao, Arusha hakujawahi kuwa na kiongozi kama Makonda.
mdukuzi said: Kuuza uji ni ubunifu au ujinga,mi namuona ni mpenda attention tu ,hakuna jambo la maana hapo Click to expand... Niko Arusha, najua utendaji kazi wake, hapa kuna maonesho ya kibiashara kuanzaa kesho ameyaandaa vizuri sana, wajasiriamali wengi watanufaika kuuza bidhaa zao, Arusha hakujawahi kuwa na kiongozi kama Makonda.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Mar 1, 2025 #24 Walai tukirusha Satellite niiteni mbwa.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Mar 1, 2025 #25 Mama anaweza kutupa zawadi ya siku ya Wanawake Duniani kwa kumtumbua Bashite.
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Mar 1, 2025 #26 Naona sinema zinaendelea. Inawezekana Watanzania ni moja ya jamii yenye uelewa finyu sana kiasi cha kudanganywa kirahisi Sana.
Naona sinema zinaendelea. Inawezekana Watanzania ni moja ya jamii yenye uelewa finyu sana kiasi cha kudanganywa kirahisi Sana.
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Mar 1, 2025 #27 mrangi said: Duh Ova Click to expand... GT unawashangaaga sana hii mijitu.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Mar 1, 2025 #28 Zelensky
MtuloBM JF-Expert Member Joined Feb 26, 2020 Posts 595 Reaction score 555 Mar 1, 2025 #29 Lucas Mwashambwa said: Paul Makonda ni Mwamba Kwelikweli huyu Jamaa. Ni chuma hasaa. Yaani ukimuangalia tu unajua kweli huyu ni kiongozi na Mtumishi wa watu. Click to expand... Kuuza uji?
Lucas Mwashambwa said: Paul Makonda ni Mwamba Kwelikweli huyu Jamaa. Ni chuma hasaa. Yaani ukimuangalia tu unajua kweli huyu ni kiongozi na Mtumishi wa watu. Click to expand... Kuuza uji?