MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
mbona kama ana miaka 55[emoji12] [emoji125] [emoji125]Yasmin Wema amezaliwa 30/09/1988
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama ana miaka 55[emoji12] [emoji125] [emoji125]Yasmin Wema amezaliwa 30/09/1988
Amelingana na mimi mhengambona kama ana miaka 55[emoji12] [emoji125] [emoji125]
kumbe ni mdogo wangu yule eeh!Yaani Wema amezaliwa 30/09/1988
Mdogo wako apunguze kupaka make up maana wa 88 wenzie wako vizuri kuliko yeye bila na podapodakumbe ni mdogo wangu yule eeh!
Sasa tatizo lipo wapi, kwani tz sweetheart ni heshima km vile heshima ya tuzo ya Amani, au Phd, au Grammy, ni jina tuu halina mamlaka yoyote kwenye uongozi au jamii, huwez kusema Wema ametunukiwa cheo cha Tanzania Sweetheart so ana mamlaka haya na yale, bali ni jina tu, wakware wameamua kumwita keki ya taifa mtu mwenye nyota zake, manake ukitoka na wema tu umaskini bye byee, so its coolNi wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya wema sepetu na Hamisa mobeto
Ikumbukwe hao wadada wapo kwenye MKOA WAKE na issue yao inahusisha mateam ya mtandaoni hivyo uamuzi wa busara aliochukua kijana huyu kutolea ufafanuzi umeokoa maafa yasitokeeee
***Haijalishi kama mahakama ilimkuta huyo bibie wema na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ila kwa mujibu wa bwana Makonda huyo ndiye Tanzania sweetheart...Waaaaoh what a charismatic leader he is..yupo vizuri mnooo aiseee.
30 au 28 ?labda Koromije sweetheart.
Halafu limama zima eti limefikisha 30 yrs
Upuuzi flani hivi
Yaani Wema amezaliwa 30/09/1988
hebu fanya tuandae ya kwako wadau tujumuikeAmelingana na mimi mhenga