Makonda aingilia kati bifu la Wema na Mobeto kuhusu jina, apongezwa

Makonda aingilia kati bifu la Wema na Mobeto kuhusu jina, apongezwa

KULIKUWA NA KILA SABABU...NA HATA MPAKA SASA KUNA KILA SABABU ZA KUMUONDOA HUYU MTU KWENYE HIYO NAFASI...LAKINI HAONDOLEWI...

WATAALAM WANASEMA HUENDA ANA SIRI KUBWA AMEIKALIA YA MKUU...NDIYO INAYOMSTIRI...YA ALLAH TUONDOLEE UONGOZI HUU DHAALIM...
 
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya wema sepetu na Hamisa mobeto
Ikumbukwe hao wadada wapo kwenye MKOA WAKE na issue yao inahusisha mateam ya mtandaoni hivyo uamuzi wa busara aliochukua kijana huyu kutolea ufafanuzi umeokoa maafa yasitokeeee
***Haijalishi kama mahakama ilimkuta huyo bibie wema na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ila kwa mujibu wa bwana Makonda huyo ndiye Tanzania sweetheart...Waaaaoh what a charismatic leader he is..yupo vizuri mnooo aiseee.

Sasa tatizo lipo wapi, kwani tz sweetheart ni heshima km vile heshima ya tuzo ya Amani, au Phd, au Grammy, ni jina tuu halina mamlaka yoyote kwenye uongozi au jamii, huwez kusema Wema ametunukiwa cheo cha Tanzania Sweetheart so ana mamlaka haya na yale, bali ni jina tu, wakware wameamua kumwita keki ya taifa mtu mwenye nyota zake, manake ukitoka na wema tu umaskini bye byee, so its cool
 
Ila mkuu wa mkoa wetu kuna mambo mengine anayoyatolea kauli huwa yanatushangaza sana wengine?! 😡😡😡😡
Labda wanaume wa asili wamepunguwa Dar...🙁🙁🙁🙁
 
Ndio maana tunazidi kuibiwa. Yan mambo hayaendi watu wanaongelea Tz sweetheart. Kwani Tanzania tulikoseaga wapi
 
Taifa linapokuwa na mbumbumbu wengi hasa kweny sekta ya uongozi...ndo mambo kama haya hutokea
RC unapoteza muda kuongelea who's Tz sweetheart!!!?? Kwa kodi gani inayoingizwa hazina kwa hilo jina??
Ingekuwa hao wanagombania jina la biashara kam (company) bas tungesema kwel ni uamuz wa busara coz hiyo kampuni ingelipa kodi, ingetoa ajira, na ingechangia kukuza GDP
 
hilo beef lao lingeleta maafa gani mpaka huyo kijana wenu kuingilia suala hilo..? mambo mengine yanatokana na kukosa kazi za kufanya.
 
Back
Top Bottom